-
Rais wa zamani Gbagbo na kiongozi mkuu wa upinzani wazuiwa kugombea urais wa Ivory Coast
Sep 09, 2025 06:58Kinyang'anyiro cha kuwania urais nchini Ivory Coast kimeshuhudia mabadiliko ya ghafla baada ya viongozi wawili wakuu wa upinzani kuzuiliwa kugombea katika uchaguzi huo utakaofanyika mwezi ujao wa Oktoba.
-
Mkutano wa pili wa hali ya hewa Afrika wazinduliwa Addis Ababa, Ethiopia
Sep 09, 2025 03:41Mkutano wa Pili wa Hali ya Hewa wa Afrika ulizinduliwa jana huko Addis Ababa mji mkuu wa Ethiopia huku viongozi wakitoa wito wa kuachana na utoaji matamshi pekee na kujikita katika uchukuaji hatua.
-
Jeshi la Mali lashambulia ngome za magaidi huko Kayes
Sep 09, 2025 03:31Jeshi la Mali limesema kuwa limefanya mashambulizi ya anga katika eneo la magharibi la Kayes lenye utajiri mkubwa wa dhahabu baada ya magaidi kuzuia kuingizwa mafuta katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako kutoka nje ya nchi hiyo.
-
Mamia waandamana Uvira, Congo DR, wanataka Jenerali Gasita aondolewe madarakani
Sep 08, 2025 23:43Mamia ya wakazi wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waliandamana jana Jumatatu katika mitaa ya mji huo dhidi ya serikali wakiitikia wito wa mashirika ya kiraia.
-
Wakenya 66,000 kupoteza ajira ikiwa makubaliano ya AGOA hayatatazamwa upya
Sep 08, 2025 08:52Sheria ya Ukuaji na Fursa Barani Afrika (AGOA) inatazamiwa kumalizika muda wake ifikapo tarehe 30 mwezi huu wa Septemba, na hivyo kuhitimisha mpango muhimu wa biashara bila ushuru kati ya Kenya na Marekani.
-
Familia ya Rais wa zamani wa Zambia katika mazungumzo ya upatanishi kumaliza mzozo wa mazishi
Sep 08, 2025 08:46Nchini Zambia, kuna uwezekano wa kufikiwa mwafaka kuhusu mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu wakati serikali na familia yake zikianza mazungumzo ya upatanishi ili kutatua mzozo wa muda mrefu kuhusu taratibu ya mazishi ya mwanasiasa huyo.
-
Waasi wa M23 wauteka tena mji wa Shoa katika jimbo la Kivu kaskazini
Sep 08, 2025 04:02Waasi wa kundi la M23 jana waliuteka tena mji wa Shoa katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano na wanajeshi wanaoiunga mkono serikali ya Kinshasa.
-
Shirika la Uhamiaji la Somalia na jitihada za kupambana na misimamo mikali
Sep 08, 2025 04:02Shirika la Uhamiaji la Somalia linafanya kazi kwa bidii kupambana na vitendo vya uchupaji mipaka na misimamo mikali na kuimarisha usalama katika mipaka ya nchi hiyo kwa kushirikiana na washirika wa kimataifa.
-
DRC: Maelfu ya wanafunzi wa Kivu washindwa kurudi shule kutokana na mapigano
Sep 07, 2025 23:02Maelfu ya wanafunzi wa Kivu Kusini na Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameshindwa kurudi shule kutokana na mapigano yanayoendelea katika majimbo hayo.
-
WHO: Njaa imeathiri baadhi ya maeneo ya Sudan
Sep 07, 2025 08:29Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunuani Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema katika ujumbe wake kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba "Sudan inakabiliwa na mgogoro wa uhaba wa chakula na njaa katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo," akieleza kuwa hali ni mbaya haswa katika eneo la Darfur Kaskazini, ambako mji wa El Fasher unazingirwa kwa zaidi ya siku 500.