-
WHO: Njaa imeathiri baadhi ya maeneo ya Sudan
Sep 07, 2025 08:29Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunuani Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema katika ujumbe wake kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba "Sudan inakabiliwa na mgogoro wa uhaba wa chakula na njaa katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo," akieleza kuwa hali ni mbaya haswa katika eneo la Darfur Kaskazini, ambako mji wa El Fasher unazingirwa kwa zaidi ya siku 500.
-
Boko Haram yaua zaidi ya watu 60 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 07, 2025 03:07Kundi la wapiganaji wanaoaminikka kuwa wa Boko Haram limewaua zaidi ya watu 60 katika shambulio la usiku kwenye jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Familia za waliouawa katika maandamano ya Gen Z huko Kenya zataka fidia ya 'kubadilisha maisha"
Sep 07, 2025 02:47Familia na jamaa wa Wakenya waliouawa katika maandamano ya vijana maarufu kama Gen Z, waliokuwa wakipinga Muswada wa Fedha wa mwaka 2024, uliopendekeza nyongeza ya kodi, wameiambia timu ya wataalamu walioteuliwa kushughulikia fidia kwa waathiriwa wa maandamano hayo kuwa wanataka kulipwa fidia itakayobadili maisha yao.
-
Mjukuu wa Mandela: Hatutawaacha Wapalestina peke yao
Sep 06, 2025 22:55Mjukuu wa kiongozi wa mapambano ya ukombozi wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela, Mandla Mandela amesisitiza kuwa, kamwe hatutawaacha peke yao Wapalestina huko Gaza na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Misri: Ni 'upuuzi' kuelezea kuhama kwa Wapalestina ni kwa hiari
Sep 06, 2025 22:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Misri, Badr Abdelatty, amesema kuwa, kuelezea uhamisho wa Wapalestina kama ni wa hiari ni “upuuzi.”
-
Katika Kesi ya mauaji ya Shakahola, mbinu za mchungaji Mackenzie zafichuliwa
Sep 06, 2025 22:53Kesi za muda mrefu za mchungaji Paul Mackenzie zinaendelea nchini Kenya, huku kesi zikisikizwa wiki hii katika mahakama ya watoto ya Tononoka mjini Mombasa, pwani ya Kenya.
-
Morocco yawa ya kwanza Afrika kukata tiketi ya kombe la Dunia 2026
Sep 06, 2025 22:52Timu ya taifa ya soka ya Morocco imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufuzu katika Kombe la Dunia la Fifa la 2026 baada ya kuicharaza Niger 5-0 .
-
Jeshi la Majini la Iran lipo Afrika Kusini kujadili luteka ijayo ya BRICS
Sep 06, 2025 08:31Mkutano wa kujadili mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya baharini ya nchi wanachama wa BRICS umefanyika katika mji bandari wa Cape Town nchini Afrika Kusini, kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi sita, ikiwa ni pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 113 nchini Chad
Sep 06, 2025 08:06Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mripuko wa kipindupindu nchini Chad tangu mwezi Julai mwaka huu mpaka sasa imefikia 113.
-
Misri: Hatutakuwa lango la kupitishia Wapalestina wanaohamishwa kwa nguvu katika ardhi yao
Sep 06, 2025 03:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imelaani matamshi ya waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu na kusisitiza kuwa Misri haitakuwa lango la kupitishia wananchi wa Palestina wanaohamishwa kwa nguvu katika ardhi yao.