-
Wasimamiaji wa usitishaji vita wanahofia kuzorota usalama Sudan Kusini
Dec 13, 2024 03:17Wasimamiaji wa makubaliano ya usitishaji vita Sudan Kusini wamesema kwamba, wamepata wasiwasi mkubwa wa kuzorota hali ya usalama katika Kaunti ya Tambura ya Jimbo la Equatoria Magharibi, huko kusini-magharibi mwa Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini.
-
RSF: Waandishi 54 wameuawa mwaka huu wakiwa kazini
Dec 13, 2024 00:08Shirika la kimataifa la Waandishi Habari wasiokuwa na Mipaka, RSF limetangaza kuwa, takribani waandishi habari 54 wameuawa ulimwenguni kote mwaka huu katika mazingira yanayohusisha kazi zao.
-
Katibu Mkuu wa UN: Ninasimama bega kwa bega na Afrika kupigania haki katika medani zote
Dec 12, 2024 07:04Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, anasimama bega kwa bega na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na watu wa Afrika katika kupigania haki katika medani zote.
-
Uturuki yatangaza kufikiwa 'suluhu ya kihistoria' kati ya Ethiopia na Somalia
Dec 12, 2024 07:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amempongeza Rais wa Somalia na Waziri Mkuu wa Ethiopia kwa kufikia "suluhu ya kihistoria na kujitolea kwa hali ya juu" katika mazungumzo ya amani baina ya nchi hizo mbili yaliyofanyika mjini Ankara, lengo likiwa ni kumaliza mgogoro wa eneo lililojitenga la Somaliland.
-
Chuo cha Al-Azhar chalaani jinai za Wazayuni nchini Syria
Dec 12, 2024 03:00Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha nchini Misri kimelaani jinai za Wazayuni za kutumia kwao vibaya matukio ya Syria na kuteka ardhi ya nchi hiyo na kimezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zichukue msimamo wa pamoja wa kuzuia kuenea donda ndugu la kensa katika Ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu.
-
Afrika Kusini yahimiza kutatuliwa kero za usafi katika mpaka wake na Msumbiji
Dec 12, 2024 02:58Bunge la Afrika Kusini limehimiza kuweko ushirikiano kati ya mamlaka husika za nchi mbili ili kushughulikia kero zinazoendelea kujitokeza kwenye huduma za mpaka wa nchi hiyo na Msumbiji.
-
ECOWAS kutumia diplomasia kuzishawishi Burkina Faso, Mali na Niger kurejea
Dec 12, 2024 02:57Rais Bola Tinubu wa Nigeria amesema kuwa, maslahi na ustawi wa raia wa Burkina Faso, Mali na Niger utaendelea kuwa kipaumbele kwa viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) yenye wanachama 15, na amesisitiza kuwa, jumuiya hiyo itatumia diplomasia na hekima kuhakikisha nchi hizo tatu zinarejea katika jumuiya hiyo ya kikanda.
-
Binti mhajiri Msierra Leone wa miaka 11 aokolewa baada ya kusalia baharini kwa siku 3
Dec 12, 2024 01:05Msichana mwenye umri wa miaka 11 kutoka Sierra Leone ameokolewa majani baada ya kusalia baharini kwa siku tatu. Binti huyo ndiyepeke yake ameenusurika katika ajali ya boti kwenye kisiwa cha Lampedusa nchini Italia.
-
Zimbabwe kujenga kituo chake cha kwanza cha anga za juu kwa usaidizi wa Russia
Dec 12, 2024 00:59Zimbabwe inategemea msaada wa Russia ili kujenga kituo cha anga za juu katika nchi hiyo ya Kiafrika na kutuma mwanaanga wake wa kwanza kwenye obiti ndani ya muongo ujao. Hayo yamedokezwa na Painos Gweme, mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Anga za Mbali la Zimbabwe (ZINGSA).
-
Watu 60 wauawa katika hujuma ya waasi wa RSF huko Omdurman wa Sudan
Dec 12, 2024 00:49Zaidi ya watu 60 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la hivi karibuni lililofanywa na waasi wa RSF dhidi ya mji wa Omdurman nchini Sudan.