-
Wachimba migodi 10 wanahofiwa kufariki dunia katika mgodi wa dhahabu Kenya
Dec 12, 2024 00:47Watu kumi wanahofiwa kufariki baada ya machimbo ya dhahabu ya kuporomoka huko Dabel kaunti ya Marsabit mashariki mwa Kenya.
-
Amnesty International: Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametenda uhalifu
Dec 11, 2024 07:22Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limetoa taarifa na kuwatuhumu maafisa wakuu wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwamba, wamehusika na vitendo vya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Mahakama ya Katiba: Rais wa zamani wa Zambia azuiwa kugombea tena urais
Dec 11, 2024 07:13Edgar Lungu aliyewahi kuwa Rais wa Zambia amezuiwa kugombea tena kiti cha urais nchini humo na kuzua wasiwasi miongoni mwa wafuasi wake.
-
Sudan Kusini na UN zatoa chanjo ya kipindupindu huku maambukizi yakiongezeka nchini
Dec 11, 2024 03:59Serikali ya Sudan Kusini, kwa ushirikiano na mashirika ya Umoja wa Mataifa imeanza kutekeleza kampeni ya utoaji chanjo ili kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu.
-
Ufaransa yaondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kutofikia muafaka na uongozi wa nchi hiyo
Dec 11, 2024 03:57Ufaransa jana Jumanne iliondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kushindwa kufikia muafaka na serikali ya nchi hiyo.
-
Zaidi ya watu 100 wauawa katika mashambulizi ya anga Khartoum
Dec 10, 2024 23:17Zaidi ya watu mia moja wameripotiwa kuuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi katika mji mkuu wa Sudan Khartoum na eneo la magharibi la Darfur.
-
Polisi Kenya watawanya maandamano ya wapinzani wa ukatili dhidi ya wanawake
Dec 10, 2024 11:13Polisi nchini Kenya wamelazimika kutumia gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga ongezeko la visa vya mauaji ya wanawake nchini humo.
-
UN yatoa indhari ya kuzidi kuharibika hali usalama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Dec 10, 2024 07:58Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amesema, kuna mvutano wa kisiasa nchini humo kufuatia miito ya kuifanyia mabadiliko Katiba sambamba na kuzidi kuvurugika hali ya usalama katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Ituri kunakohusisha harakati za makundi ya ADF, M23, CODECO na Zaire.
-
Waziri Mkuu wa Libya: Uchaguzi ndiyo njia pekee ya kujitoa kwenye mkwamo wa kisiasa
Dec 10, 2024 03:02Waziri Mkuu wa Libya, Abdul-Hamed Dbeibah amesisitiza kwamba, kuitishwa uchaguzi wa kisheria ndiyo njia pekee ya kutatua mkwamo wa kisiasa wa muda mrefu wa nchi yake.
-
Afisa wa Umoja wa Afrika atoa mwito wa juhudi za pamoja za kuzuia matamshi ya chuki
Dec 10, 2024 03:02Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika anayehusika na Kuzuia Mauaji ya Kimbari na Ukatili Mwingine wa Umati, Adama Dieng ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kukabiliana na ubaguzi wa rangi, ukabila, chuki dhidi ya wageni na aina zote za kutovumiliana.