-
Magenge ya kigaidi yaua raia 21 nchini Niger
Dec 10, 2024 03:01Raia 21 waliuawa wiki iliyopita wakati magaidi waliposhambulia msafara wa usafirishaji wa bidhaa karibu na Tera, magharibi mwa Niger. Hilo ni eneo ambalo mara kwa mara hushambuliwa na watu wasiojulikana wenye silaha.
-
Ugonjwa usiojulikana uliouawa watu 143 Congo DR, ni covid au ugonjwa mwingine mpya?
Dec 09, 2024 23:20Ugonjwa wa ajabu usiojulikana uliosambaa katika jimbo la kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua watu wasiopungua 143 umeibua wasiwasi na maswali mengi kati ya wataalamu wa afya wa kikanda na kimataifa.
-
Wapinzani Burundi wakosoa sheria mpya za uchaguzi wa Bunge
Dec 09, 2024 23:20Mrengo wa upinzani nchini Burundi umekosoa vikali maagizo ya Rais Evariste Ndayishimiye kuhusu uchaguzi wa Bunge ambao umepangwa kufanyika Juni 5 mwaka ujao, wakisema yanalenga kumzuia aliyekuwa kiongozi wa chama cha CNL Agathon Rwasa kugombea katika uchaguzi huo.
-
Knut yaitaka TSC iajiri washauri kuzuia visa vya walimu kujitia kitanzi Kenya
Dec 09, 2024 09:48Chama cha Walimu Kenya (KNUT) kimeitaka Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) iajiri washauri nasaha kushughulikia visa vya kujitia kitanzi na matumizi mabaya dawa za kulevya kwa walimu nchini humo.
-
Mgombea wa upinzani Ghana ashinda uchaguzi wa rais, mgombea wa chama tawala akubali matokeo
Dec 09, 2024 09:46Makamu wa rais wa Ghana na mgombea wa chama tawala, Mahamudu Bawumia, amekubali kushindwa na mgombea wa upinzani na rais wa zamani John Dramani Mahama katika uchaguzi wa rais wa taifa hilo la Afrika Magharibi uliokuwa na ushindani mkali.
-
Watu 28 wauawa katika shambulizi la kombora kwenye kituo cha mafuta Khartoum
Dec 09, 2024 00:09Mtandao wa kundi la waokoaji wa kujitolea nchini Sudan umesema kuwa, raia 28 wameuawa Jumapili wakati kituo cha mafuta kilichopo katika eneo la Khartoum chini ya udhibiti wa kundi la RSF kiliposhambuliwa kwa makombora.
-
Amnesty International yalaani vifo vya watu 10,000 katika jela za kijeshi Nigeria
Dec 08, 2024 23:39Shirika la Msamaha Dunia la Amnesty International limetangaza kuwa, watu 10,000 wamefariki dunia wakiwa kizuizini katika jela za jeshi nchini Nigeria tangu mwaka 2010, kama sehemu ya vita dhidi ya Boko Haram, katika eneo la Borno, kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mgombea wa upinzani nchini Ghana John Mahama ajitangazia ushindi uchaguzi wa urais
Dec 08, 2024 10:50Mgombea wa upinzani John Mahama amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa rais wa Ghana Jumapili baada ya mgombea wa chama tawala Makamu wa Rais Mahamudu Bawumia kukubali kushindwa. Makamu wa rais alisema Mahama ameshinda kiti cha urais "kwa kishindo".
-
Kiongozi wa Burkina Faso amteua waziri mkuu mpya
Dec 08, 2024 10:47Rimtalba Jean Emmanuel Ouedraogo ameteuliwa kuwa waziri mkuu wa Burkina Faso na kuchukua nafasi ya Apollinaire Joachim Kyelem de Tambela, ambaye alifutwa kazi Ijumaa na Rais Kapteni Ibrahim Traore.
-
Naibu Rais wa Kenya atekeleza sera tofauti na mtangulizi wake
Dec 08, 2024 02:50Naibu wa Rais wa Kenya, Prof Kithure Kindiki anaonekana kuchukua hatua za kimakusudi kuepuka makosa yaliyofanywa na mtangulizi wake, Rigathi Gachagua, kwa kukwepa hafla za umma zinazohudhuriwa na Rais William Ruto tangu aapishwe kuwa naibu wa rais wa tatu wa Kenya.