-
Gavana wa Nigeria: ICC inapaswa pia kuifungulia mashtaka Marekani kwa jinai za Gaza
Dec 08, 2024 02:29Gavana wa zamani wa Jimbo la Bauchi huko Kaskazini mwa Nigeria anaamini kwamba Marekani pia inapaswa kufunguliwa mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa kuisaidia Israel kufanya uhalifu na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Msumbiji yaendelea kukumbwa na maandamano baada ya uchaguzi; watu 20 wajeruhiwa
Dec 07, 2024 23:27Takriban watu 20 jana walijeruhiwa katika makabiliano na polisi ya Msumbiji katika maandamano makubwa yanayoendelea kushuhudiwa nchini humo kupinga uchaguzi wa rais wa tarehe 9 Oktoba. Aidha majengo mawili ya serikali katika mji mkuu Maputo yalichomwa moto na waandamanaji wenye silaha.
-
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inapambana na ugonjwa usiojulikana
Dec 07, 2024 23:00Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, iko kwenye tahadhari ya hali ya juu kutokana na ugonjwa usiofahamika ambao umesababisha vifo vya zaidi ya watu 140 katika kipindi cha mwezi mmoja.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 07, 2024 23:00Wananchi wa Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza.
-
ANC ya Afrika Kusini yataka kaburu muuaji na mbaguzi wa rangi akabidhiwe kwa wananchi
Dec 07, 2024 08:07Umoja wa Vijana wa African National Congress (ANCYL), chama tawala cha Afrika Kusini umekasirishwa na uamuzi wa kumfukuza muuaji wa mpigania ukombozi, Chirs Hani na umetaka akabidhiwe kwa wananchi ili waamue hatima yake.
-
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso wamfukuza kazi waziri mkuu na kuvunja serikali
Dec 07, 2024 08:05Rais wa mpito Kapteni Ibrahim Traore alimfukuza kazi Waziri Mkuu wa Burkina Faso Apollinaire Joachim Kyelem de Tambela na serikali, kwa mujibu wa amri iliyosomwa Ijumaa mwishoni mwa televisheni ya taifa.
-
Mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan Kusini 'unaongezeka kwa kasi'
Dec 07, 2024 03:42Shirika moja la misaada ya kibinadamu limeonya kuwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Sudan Kusini "unaongezeka kwa kasi", ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja baada ya kesi ya kwanza kugunduliwa.
-
Uchaguzi wa Rais na Bunge Ghana unafanyika leo
Dec 06, 2024 22:56Mamilioni ya wananchi wa Ghana leo Jumamosi wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais mpya na wawakilishi wa bunge huku nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika inayojulikana kwa akiba kubwa ya dhahabu na uzalishaji wa kakao ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi.
-
Vyama vya upinzani Namibia vyapinga ushindi wa SWAPO katika uchaguzi wa rais
Dec 06, 2024 22:55Kiongozi wa Chama cha Wazalendo Wanaojitegemea kwa ajili ya Mabadiliko (Independant Patriots for Change) nchini Nambia IPC Panduleni Itula amesisitiza kuwa hawayakubali matokeo ya uchaguzi wa rais yanayoonyesha mgombea wa chama tawala SWAPO ameshinda kwa zaidi ya 57% ya kura akiuita uchaguzi huo kuwa ni wa "fujo".
-
Watu 5 wapoteza maisha katika maandamano ya ghasia nchini Msumbiji
Dec 06, 2024 08:55Polisi ya Msumbiji imeripoti kuwa watu wasiopungua watano wamepoteza maisha na wengine watatu wamejeruhiwa vibaya katika maandamano ya ghasia katika miji ya Maputo, Nampula na Zambezia.