-
Mali yatoa hati ya kukamatwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni kuu ya dhahabu ya Barrick
Dec 06, 2024 08:24Mali, mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu barani Afrika, imetoa hati ya kukamatwa Mark Bristow, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold na hivyo kuzidisha mvutano na kampuni hiyo ya uchimbaji madini ya Canada.
-
Tanzania na Imarati zaazimia kuboresha uhusiano baina yao
Dec 06, 2024 03:45Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu zimesisitiza kuwa, zina azma ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyanja mbalimbali.
-
Umoja wa Mataifa: Sudan inakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu
Dec 06, 2024 03:45Kwa mara nyingine tena Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa na itakayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan.
-
Umoja wa Mataifa wazidisha juhudi za kufufua mchakato wa kisiasa Libya
Dec 06, 2024 03:44Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL umesema kwamba umeongeza jitihada zake za kufufua mchakato wa kisiasa na kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kitaifa nchini humo.
-
DRC: Idadi ya vifo vya ugonjwa usiojulikana yafikia 143
Dec 06, 2024 00:21Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa ajabu usiojulikana katika jimbo la kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeongezeka na kufikia 143. Idadi ya vifo imeendelea kuongezeka huku waziri wa afya akitangaza kwamba timu ya wataalamu imetumwa ili kubaini asili halisi ya ugonjwa huo.
-
Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam
Dec 05, 2024 23:49Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani ya Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.
-
Kampuni ya Ufaransa yapoteza udhibiti wa mgodi mkubwa wa urani nchini Niger
Dec 05, 2024 23:09Kampuni ya fueli nyuklia ya Ufaransa iitwayo Orano imesema kuwa, serikali ya Niger imechukua udhibiti wa mgodi wa urani wa Somair uliokuwa umehodhiwa na shirika hilo la kikoloni katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Sheikh Zakzaky: Ulimwengu unajua utawala wa Kizayuni umeshindwa, kazi pekee wa Israel ni kuua idadi kubwa ya raia
Dec 05, 2024 08:24Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky ametoa pongezi kwa wapiganaji wa harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwa ushindi wao dhidi ya utawala wa mauaji ya kimbari wa Israel akisisitiza kuwa dunia nzima inatambua kwamba Israel imeshindwa katika medani ya vita.
-
Iran yahimiza juhudi za kidiplomasia kukabiliana na tishio kubwa la ugaidi
Dec 05, 2024 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametahadharisha kuwa, kuibuka tena ugaidi nchini Syria na kuenea kwake katika eneo kutaleta tishio kubwa kwa amani, utulivu na usalama na hivyo ametaka kuwepo juhudi kukabiliana na tishio hilo.
-
Iran yaishukuru Burkina Faso kwa kupinga azimio la IAEA dhidi ya Iran
Dec 05, 2024 04:16Balozi wa Iran amekutana na Waziri wa Usalama wa Burkina Faso, Mahamadou Sana, ambapo wamejadili masuala ya uhusiano wa pande mbili na matukio ya kimataifa.