-
Wasiwasi watanda baada ya ndege ya kijasusi ya Marekani kuonekana Uganda, DRC
Dec 05, 2024 04:15Ndege ya kujasusi ya Marekani inachunguzwa baada ya kukiuka anga ya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mara kadhaa mwezi Novemba.
-
DRC yaanzisha uchunguzi baada ya ugonjwa usiojulikana kuua watu 79
Dec 05, 2024 04:13Takriban watu 79 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa ajabuusiojulikana katika jimbo la kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwezi uliopita, huku waziri wa afya akitangaza kwamba timu ya wataalam imetumwa ili kubaini asili halisi ya ugonjwa huo.
-
Mashirika: Waliokufa katika ghasia za mechi ya soka Guinea Conakry ni zaidi ya 135
Dec 04, 2024 23:32Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Guinea yametangaza kuwa, yanaamini zaidi ya mashabiki 135 wa kandanda walifariki katika mkanyagano katika uwanja wa mpira siku ya Jumapili, wengi wao wakiwa watoto.
-
Odinga kuchuana na wapinzani wawili kwenye mdahalo kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya AU
Dec 04, 2024 23:31Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga atashiriki katika mdahalo wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika katika Makao Makuu ya AU huko Addis Ababa, Ethiopia Desemba 13, 2024.
-
Ramaphosa: G-20 ijihadhari na sera za Trump za "Marekani Kwanza"
Dec 04, 2024 09:16Wakati dunia ikisubiri kuapishwa rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametahadharisha kuhusu sera za kiongozi huyo mpya za "Marekani Kwanza".
-
Khartoum yakosoa uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya Sudan
Dec 04, 2024 08:42Wizara ya Ulinzi ya Sudan imetoa taarifa ikikosoa uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na pia hatua yake ya kuwapatia silaha na zana za kijeshi wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).
-
Nandi-Ndaitwah atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi na kuwa rais wa kwanza mwanamke Namibia
Dec 04, 2024 03:09Namibia imepata rais wake wa kwanza mwanamke baada ya mgombea wa chama tawala cha SWAPO na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah mwenye umri wa miaka 72, kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika wiki iliyopita.
-
Watu 79 wafariki dunia kwa "ugonjwa usiojulikana" kusini magharibi mwa DR Congo
Dec 03, 2024 23:58Takriban watu 79 wamefariki dunia kutokana na "ugonjwa ambao bado haujajulikana asili yake" na ambao unaoendelea kuenea katika jimbo la Kwango la kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rais Deby atetea uamuzi wa kukomesha uhusiano wa Kijeshi wa Chad na Ufaransa
Dec 03, 2024 23:58Rais wa Chad, Mahamat Idriss Deby, amesema uamuzi wake wa kusitisha mikataba ya ushirikiano na jeshi la Ufaransa ni sehemu ya ahadi yake aliyoitoa wakati wa kuapishwa kwake mwezi Mei, 2024.
-
Sudan: Colombia yaomba radhi kufuatia baadhi ya raia wake kushiriki kama mamluki katika kikosi cha RSF
Dec 03, 2024 08:54Sudan imethibitisha kuwa Colombia imeiomba radhi kufuatia baadhi ya raia wa nchi hiyo kushiriki kama mamluki katika kikosi cha wanamgambo wa RSF wa Sudan wanaopigana dhidi ya serikali ya Khartoum.