-
Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2024 08:45Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.
-
DRC kuishtaki Rwanda Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu
Dec 03, 2024 03:46Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa inaendelea na kesi dhidi ya nchi jirani ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Kibinadamu na Watu, ambayo ni mamlaka iliyo chini ya Umoja wa Afrika yenye makao yake makuu mjini Arusha, Tanzania.
-
Morocco yachapisha stempu ya Gaza kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 03, 2024 03:45Idara ya posta ya Morocco imechukua hatua ya kuwaunga mkono Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kuchapisha stempu yenye anuani "Pamoja na Gaza".
-
WFP yaomba fedha za msaada wa chakula kabla ya msimu wa mvua nchini Sudan Kusini
Dec 02, 2024 23:19Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana Jumatatu lilitoa mwito kwa wafadhili kutoa fedha haraka ili kuliwezesha kusambaza tani 147,000 za chakula cha msaada huko Sudan Kusini kabla ya msimu wa mvua kwani wakati huo barabara zitakuwa hazipitiki.
-
Jeshi la Sudan: Tumeuwa wanamgambo 30 wenye silaha wa RSF
Dec 02, 2024 08:46Jeshi la Sudan leo limedai kuwa limewauwa wapiganaji 30 wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mapigano makali yaliyozuka kati yao na kikosi hicho.
-
Watu karibu 100 wamepoteza maisha katika ghasia kubwa wakati wa mechi ya soka huko Guinea Conakry
Dec 02, 2024 08:36Ripoti zinasema kuwa vurugu zilitokeka jana wakati wa mechi kati ya timu ya soka ya Labe na Nzerekore huko Nzerekore, jiji la pili kwa ukubwa huko Guinea magharibi mwa Afrika.
-
Rais Samia kuunda tume ya kuchunguza malalamiko ya jamii ya Wamasai Ngorongoro
Dec 02, 2024 03:37Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ataunda Tume mbili ambazo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro.
-
Umoja wa Mataifa wataka kushughulikiwa mgogoro wa Sudan
Dec 02, 2024 03:36Mkuu wa masuala ya kibinadamu kwenye Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Jamii ya Kkimataifa kuchukua hatua za haraka ili kushughulikia mzozo wa Sudan unaozidi kuwa mbaya.
-
Mapigano makali yaripotiwa kati ya jeshi la Sudan na la waasi wa RSF katika miji tofauti
Dec 01, 2024 23:32Mapigano makali yameripotiwa kati ya jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika miji kadhaa ya Sudan, huku idadi kubwa ya watu waliokimbia makazi yao ikiendelea kuwasili katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa jeshi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad
Dec 01, 2024 23:07Serikali ya Chad imetangaza kukomesha makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Ufaransa na kutangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinapaswa kuondoka nchini Chad.