-
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Dec 01, 2024 09:36Viongozi wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamefanya juhudi kwa mara nyingine tena za kujaribu kuleta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Marais wa Kenya na Uganda kupatanisha mzozo wa Somalia na Ethiopia
Dec 01, 2024 09:29Marais wa Kenya na Uganda wanatarajiwa kuwa wapatanishi wa mzozo wa Ethiopia na Somalia ambao umetishia kuzitumbukiza nchi hizo katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia.
-
Kwa mara nyingine A/Kusini yaitaka Israel ikomeshe jinai na mauaji ya umati Ghaza
Dec 01, 2024 08:04Kwa mara nyingine tena serikali ya Afrika Kusini imeulaumu vikali utawala wa Kizayuni kwa kuendelea kufanya jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya wanawake, watoto na raia wa kawaida huko Ghaza na kulitaka dola hilo katili na pandikizi likomeshe jinai zake mara moja.
-
Misri: Tuko pamoja na Syria katika kupambana na magenge ya kigaidi
Dec 01, 2024 08:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa nchi hiyo iko pamoja na serikali na wananchi wa Syria katika kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Mke wa zamani wa Laurent Gbagbo kugombea urais Ivory Coast
Dec 01, 2024 08:03Orodha ya wagombea wa urais nchini Ivory Coast imezidi kuwa kubwa. Mgombea aliyejitokeza hivi karibuni zaidi ni mke wa zamani wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Tunisia yasambaratisha mitandao miwili ya magendo ya mihadarati karibu na mji mkuu
Dec 01, 2024 08:02Vikosi vya usalama vya Tunisia vimesambaratisha mitandao miwili ya magendo ya dawa za kulevya katika majimbo ya Ben Arous na Ariana karibu na mji mkuu wa Tunis.
-
Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani Namibia: Hatutayakubali matokeo ya uchaguzi
Dec 01, 2024 02:43Mgombea mkuu wa urais wa upinzani nchini Namibia, Panduleni Itula, amesema chama chake hakitatambua matokeo ya uchaguzi uliokumbwa na utata wa kuongezewa muda wa upigaji kura na kutawaliwa na fujo na madai ya uchakachuaji.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 01, 2024 00:43Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa IIsrael katika Ukanda wa Gaza.
-
Karibu watu 27 wafa maji baada ya boti kuzama, Nigeria
Nov 30, 2024 09:23Karibu watu 27 wamekufa baada ya boti kuzama katika Mto Niger, katikati mwa Nigeria.
-
Wanaharakati wazindua juhudi za kupinga ubaguzi kwa ajili ya kuitenga Israel
Nov 30, 2024 08:31Muungano wa watu mashuhuri kutoka kote duniani umezindua sura ya Afrika Kusini ya harakati ya kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya Israel.