-
27 wafariki, 100 hawajulikani waliko baada ya mashua kupinduka kaskazini ya Nigeria
Nov 30, 2024 03:38Watu wasiopungua 27 wamefariki dunia na zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya mashua kupinduka kaskazini mwa Nigeria.
-
Rais wa Senegal: Kuwepo vituo vya kijeshi vya Ufaransa nchini Senegal kunapingana na mamlaka ya kujitawala
Nov 29, 2024 23:18Rais wa Senegal, Basserou Diomaye Faye, amesema kuwa kuwepo kwa vituo vya kijeshi vya Ufaransa nchini mwake kunakinzana na mamlaka ya kitaifa ya kujitawala.
-
Uganda: Waziri wa zamani atoa wito wa kuhamishwa manusura wa maporomoko ya ardhi
Nov 29, 2024 11:43Huku jitihada za uokoaji zikiendelea mashariki mwa Uganda kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyozika nyumba katika zaidi ya vijiji 6, baadhi ya wanasiasa wametoa wito wa kutafutwa suluhisho la kudumu la tatizo hilo badala ya kutosheka na zoezi la kuokoa watu waliopatwa na maafa hayo.
-
Macron akiri ilichofanya Ufaransa 1944 kwa askari wa Afrika Magharibi ni "mauaji ya halaiki"
Nov 29, 2024 08:11Kwa mara ya kwanza, Rais wa Ufaransa ameyatambua mauaji ya wanajeshi wa Afrika Magharibi yaliyofanywa na Jeshi la Ufaransa mwaka 1944 kuwa ni "mauaji ya halaiki. Macron amechukua hatua hiyo kupitia barua aliyoziandikia Mamlaka za Senegal.
-
Sudan yaripoti wagonjwa wa kipindupindu zaidi ya elfu 43
Nov 29, 2024 03:45Sudan jana Alhamisi iliripoti watu zaidi ya 43,000 wanaugua kipindupindu huku wengine 1,800 wakiaga dunia kwa ugonjwa huo.
-
Chad yakata uhusiano wa kijeshi na Ufaransa
Nov 29, 2024 03:45Chad imehitimisha makubaliano iliyofikia na Ufaransa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika nyanja za usalama na ulinzi kati ya nchi mbili.
-
Maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi Msumbiji yaendelea licha ya wito wa mazungumzo
Nov 28, 2024 23:03Wapinzani nchini Msumbiji wameendelea kufanya maandamano ya kukataa matokeo ya uchaguzi wa mwezi uliopita.
-
Watu 30 wahofiwa kufa kwenye maporomoko ya ardhi Uganda
Nov 28, 2024 23:03Takribani watu 30 wanahofiwa kufa kufuatia maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda. Hayo yamelezwa na afisa mmoja wa eneo hilo aliyeonya kuwa idadi hiyo huenda ikaongezeka.
-
Somalia na Jubaland zatoa waranti wa kukamatwa marais wa pande hizo mbili
Nov 28, 2024 23:02Serikali ya Shirikisho la Somalia imetoa waranti wa kukamatwa Rais wa Jimbo la Jubaland katika kile kinachoweza kuonekana kuwa ni hatua ya kujibu uamuzi wa huko nyuma wa Jaji wa Jubaland aliyetoa waranti wa kukamatwa Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.
-
Chadema yaitaka polisi kuchunguza mauaji ya wafuasi wake kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania
Nov 28, 2024 07:41Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, kimelaani mauaji ya wafuasi wake wawili katika mkesha wa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana Jumatano, na kuilauumu serikali kuwa imefanya udanganyifu katika uchaguzi huo.