-
Matokeo yanasubiriwa Namibia baada ya uchaguzi wenye ushindani mkali
Nov 28, 2024 03:40Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Namibia baada ya uchaguzi ulioonekana kuwa na ushindani mkali zaidi katika miongo kadhaa.
-
Russia kushirikiana na Ethiopia katika sekta ya nyuklia
Nov 27, 2024 23:24Kampuni ya nyuklia ya Rosatom ya Russia imetia saini mkataba na Wizara ya Ubunifu na Teknolojia ya Ethiopia kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa Kituo cha Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia (NSTC) katika nchi hiyo ya Afrika.
-
Wananchi wa Namibia wamepiga kura katika uchaguzi wa rais, wabunge
Nov 27, 2024 10:03Wananchi wa Namibia wamejitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura leo Jumatano kumchagua rais ajaye wa taifa hilo la kusini mwa Afrika pamoja na wabunge 104.
-
Watanzania wanashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa
Nov 27, 2024 04:28Baada ya kampeni zilizotawaliwa na patashika nyingi, Watanzania leo watafanya uamuzi wa kuwachagua viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaohudumu kwa miaka mitano ijayo.
-
Mkenya, Alice Wairimu Nderitu atimuliwa na UN, amekwenda kinyume na wataalamu kuhusu muaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Nov 27, 2024 04:27Duru za habari zinasema kuwa Umoja wa Mataifa umemtimua Mkenya, Alice Wairimu Nderitu, aliyekuwa Mshauri Maalumu wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari baada ya kukataa kuyataja mauaji yanayofanywa na utawala katili wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
HRW: Watoto 10 wauawa katika maandamano ya uchaguzi Msumbiji
Nov 26, 2024 23:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa askari usalama wa Msumbiji vimewauwa watoto wasiopungua 10 na kujeruhi makumi ya wengine wakati wakijaribu kuzima maandamano ya wiki kadhaa kufuatia uchaguzi wa rais uliokumbwa na utata.
-
Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo
Nov 26, 2024 23:45Ripoti ya waangalizi wa kimataifa iliyotolewa jana Jumanne imesema kwamba mizozo, machafuko na majanga kote barani Afrika yameongeza mara tatu idadi ya watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao barani humo.
-
Mapigano yashadidi huko El Fashe, Sennar yapokea raia wanaorejea makwao
Nov 26, 2024 23:42Mji wa El Fasher, magharibi mwa Sudan, umeshuhudia mapigano kati ya jeshi na Vikosi vya kundi la Msaada wa Haraka (RSF), huku raia wakianza safari ya kurejea makwao katika Jimbo la Sennar kusini mashariki mwa nchi hiyo baada ya jeshi kulidhibiti eneo hilo.
-
Afrika Kusini yasisitiza kuhusu kuchukuliwa hatua za kimataifa kupigania uhuru wa Palestina
Nov 26, 2024 09:56Afrika Kusini Jumatatu ilisisitiza wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja huko Palestina na Lebanon na kuanzishwa kwa mchakato wa kisiasa ili kupatikana amani ya kiadilifu na ya kudumu.
-
Uchaguzi mkuu kufanyika Namibia Jumatano, uwezekano wa rais mwanamke
Nov 26, 2024 09:51Raia wa Namibia watapiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais mpya na wabunge wa Bunge la Kitaifa katika kinyang'anyiro ambacho wataalamu wanaamini kuwa kinaweza kuwa na ushindani mkubwa zaidi tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1990.