-
Jeshi latumwa mitaani kuzima ghasia za baada ya uchaguzi Msumbiji
Nov 08, 2024 23:49Msumbiji imetuma wanajeshi mitaani kusaidia kudumisha utulivu kufuatia wiki kadhaa za maandamano ya ghasia dhidi ya chama tawala ambacho kinatuhumiwa kwa udanganyifu katika uchaguzi wa mwezi uliopita.
-
Idadi ya waliofariki yapindukia 200 katika mji wa Sudan ulioko kwenye mzingiro wa RSF
Nov 08, 2024 23:49Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mji wa Al-Hilaliya wa katikati mwa jimbo la Al Jazirah nchini Sudan, imeongezeka na kufikia zaidi ya 200 kufuatia wiki mbili za mzingiro na mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF.
-
Nchi zilizoathiriwa zaidi Afrika zapokea dozi laki nane za chanjo ya MPOX
Nov 08, 2024 08:44Shirika la Afya Duniani (WHO) imetenga dozi 899,000 za chanjo ya MPOX kwa nchi tisa za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na mlipuko wa sasa wa ugonjwa huo.
-
Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao
Nov 08, 2024 04:01Bunge la Ghana jana Alhamisi liliahirishwa tena kwa muda usiojulikana kufuatia pingamizi la wabunge kutoka chama tawala cha New Patriotic Party (NPP) muda mfupi kabla ya uchaguzi.
-
Wanajeshi wa Nigeria waua magaidi 481 mwezi Oktoba
Nov 08, 2024 03:16Jeshi la Nigeria limetoa taarifa na kusema kuwa, takriban magaidi 481 wameuawa na wengine zaidi ya 741 wametiwa mbaroni na wanajeshi wa nchi hiyo katika operesheni za kupambana na ugaidi zilizofanyika kwenye kona zote za Nigeria katika mwezi uliopita wa Oktoba.
-
UN yatoa mwito wa kupunguzwa mvutano wa baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
Nov 07, 2024 06:25Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka mvutano na machafuko ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji ambayo yameshapelekea watu 20 kupoteza maisha huku usalama ukizidi kudorora.
-
MSF yaanza upya kutoa huduma kwa wananchi waliokumbwa na njaa magharibi mwa Sudan
Nov 07, 2024 05:58Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, limeanza tena kutoa huduma katika kambi ya wakimbizi ya mji wa El Fasher wa Darfur Kaskazini huko magharibi mwa Sudan kutokana na watu katika kambi hiyo kukumbwa na njaa kali na magonjwa ya kuambukiza.
-
SADC yaitisha mkutano wa dharura kuhusu mgogoro wa Msumbiji
Nov 07, 2024 03:29Ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji kufuatia mzozo wa uchaguzi wa Oktoba 9 zimesababisha Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuitisha mkutano wa dharura mjini Harare wiki ijayo.
-
Somalia yaitaka Ujerumani isiwafukuze wahajiri Waafrika
Nov 07, 2024 03:03Somalia imeitaka Ujerumani isitishe mpango wake wa kuwafukuza Waafrika wakiwemo Wasomali nchini humo.
-
Amnesty International yaitaka Mali ifanye uchunguzi wa vifo vya raia katika mashambulio ya droni
Nov 06, 2024 22:59Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za binadamu la Amnesty International, limeiitaka serikali ya Mali kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya raia wanane, wakiwemo watoto wadogo waliouawa katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani.