-
Masaibu ya Naibu Rais aliyetimuliwa Kenya, Rigathi Gachagua yazidi, UDA nayo kumtimua
Oct 30, 2024 04:41Chama tawala nchini Kenya cha United Democratic Alliance (UDA) kimetangaza kwamba, hivi karibuni kitamteua Naibu Rais mteule, Kithure Kindiki kama naibu kiongozi wa chama hicho mara tu kesi zinazoendelea mahakamani za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua, zitakapomilika.
-
ICC kuthibitisha mashtaka dhidi ya Joseph Kony
Oct 30, 2024 04:40Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetangaza kuwa, kikao cha kuthibitisha mashtaka dhidi ya mbabe wa kivita anayesakwa Joseph Kony kitafanyika bila yeye kuwepo mahakamani.
-
UN: Vita vya Sudan vimesababisha watu milioni 14 kuwa wakimbizi
Oct 29, 2024 23:58Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, vita vya zaidi ya mwaka mmoja na nusu huko Sudan vimepelekea watu zaidi ya milioni 14 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.
-
Mwakilishi wa Algeria UN: Algiers inalaani vikali shambulizi la Israel dhidi ya Iran
Oct 29, 2024 09:01Balozi na mwakilishi wa Algeria katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulizi ya hivi majuzi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Chad yatangaza siku 3 za maombolezo baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi
Oct 29, 2024 07:03Serikali ya Chad imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi wake katika jimbo la Lac.
-
Askari wapatao 40 wauawa katika shambulio kwenye kambi ya jeshi nchini Chad
Oct 29, 2024 03:31Wanajeshi wapatao 40 wa Chad wameuawa katika shambulizi ldhidi ya kambi ya jeshi katika eneo la Ziwa Chad. Hayo yameelezwa katika taarifa iliyotolewa jana na ofisi ya rais wa nchi hiyo ya Afrika ya Kati.
-
Shirika la Nishati ya Upepo Kenya ni 'Mtu wa Mwaka wa UN'
Oct 28, 2024 23:29Kampuni ya mradi wa uzalishaji nishati ya upepo kutoka Kaunti ya Kajiado Kenya imejinyakulia tuzo ya umoja wa Mataifa nchini Kenya ya 'mtu bora wa mwaka 2024.'
-
DRC: Kambi ya rais wa zamani Joseph Kabila yapinga marekebisho ya katiba
Oct 28, 2024 09:23Muungano wa Common Front for Congo (FCC) wa Joseph Kabila, rais wa zamani wa DRC kinapinga dhidi ya rasimu ya marekebisho ya Katiba iliyowasilishwa na Rais Félix Tshisekedi wiki iliyopita.
-
PeacePro Afrika yalitaka kundi la BRICS kukomesha maovu ya Israel
Oct 28, 2024 08:51Taasisi moja isiyo ya kiserikali barani Afrika ambayo inapigania masuala ya amani, imelitaka kundi la BRICS kuchukua hatua za kuukomeshha ushari na vitendo vya kiovu vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Afrika Kusini na Somalia zalaani vikali shambulio la Israel nchini Iran
Oct 28, 2024 03:24Afrika Kusini na Somalia zimelaani vikali shambulio la Jumamosi alfajiri la Israel dhidi ya Iran na kusema kuwa chokochoko hizo za utawala wa Kizayuni zinatishia usalama wa ukanda mzima wa Asia Magharibi.