-
EU yataka kukomeshwa wimbi jipya la mapigano nchini Sudan
Oct 28, 2024 03:17Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, ameelezea wasiwasi wake kuhusu ripoti za mauaji ya watu wengi na ubakaji katika jimbo la Al-Gezira nchini Sudan.
-
Afrika Kusini kuwasilisha hati kwa ICJ ya ushahidi wa kisayansi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 27, 2024 23:26Afrika Kusini kuwasilisha hati ya kina katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa ushahidi wa kisayansi kuthibitisha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
-
Watoto milioni 3.7 wako katika hatari ya utapiamlo mkali nchini Sudan
Oct 27, 2024 23:26Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema kuwa, watoto milioni 3.7 walio na umri wa chini ya miaka mitano nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na utapiamlo na kuonya kuhusu hali mbaya zaidi ya kibinadamu kote nchini humo.
-
Wanamgambo wa RSF watuhumiwa kwa 'mauaji ya halaiki' katika jimbo la Gezira, Sudan
Oct 27, 2024 07:40Mashambulizi yaliyofanywa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko kaskazini na mashariki mwa jimbo la Gezira nchini Sudan yametajwa na taasisi ya kieneo ya Gezira Conference kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Ghana yakanusha kuwepo kambi ya wanamgambo wenye silaha kaskazini mwa nchi hiyo
Oct 27, 2024 04:23Serikali ya Ghana imekanusha ripoti kwamba wanamgambo wanaobeba silaha huko Burkina Faso wanatumia eneo la kaskazini mwa Ghana kama kambi yao ya kuhifadhia zana za kijeshi na suhula za matibabu ili kuendeleza uasi na hujuma zao. .
-
Watu 50 wauawa katika shambulizi la kijeshi nchini Sudan
Oct 27, 2024 04:22Zaidi ya watu 50 waliuawa na zaidi ya wengine 200 kujeruhiwa siku ya Ijumaa katika shambulio lililofanywa na Wanajeshi wa kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kwenye kijiji kimoja katikati mwa Sudan.
-
Wanigeria waandamana kulaani jinai za Israel Gaza na Lebanon
Oct 26, 2024 22:54Mamia ya wananchi katika Jimbo la Kano Kaskazini Magharibi mwa Nigeria wameshiriki katika maandamano ya wafuasi wa Palestina kulaani tena ukatili wa Israel dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
-
Upinzani DRC wauonya utawala kuhusu mageuzi ya katiba
Oct 26, 2024 22:53Martin Fayulu mmoja wa viongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amewaambia waandishi wa habari kwamba hakutakuwa na mageuzi au mabadiliko yoyote ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa 2028.
-
Katika hatua ya kushangaza, CHADEMA yasema haitashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa TZ
Oct 26, 2024 02:31Katika hatua ya kushangaza, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania Freeman Mbowe ametangaza rasmi kuwa chama hicho hakitashiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024.
-
Mapigano kati ya majenerali wa kijeshi yazidi kuinakamisha Sudan
Oct 25, 2024 06:43Mapigano ya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi wanaoongoza makundi mawili ya SAF na RSF yameongezeka katika maeneo mengi ya Sudan na kusababisha hasara kubwa kwa raia.