-
Volkano ya Mlima Nyamulagira DRC yaripuka tena
Oct 15, 2024 02:52Volkano ya Mlima Nyamulagira, ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ilianza kuripuka tena tangu Jumamosi na hadi hivi sasa mripuko huo unaendelea.
-
DRC yarefusha ushirikiano wa kijeshi na Uganda kupambana na waasi wa ADF
Oct 15, 2024 02:51Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amethibitisha uamuzi wa nchi yake ya kuendeleza ushirikiano wa kijeshi kati yake na Jeshi la Uganda UPDF katika vita dhidi ya waasi wa ADF huko Kivu Kaskazini na Ituri nchini DRC.
-
Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon
Oct 14, 2024 23:15Rais wa Afrika Kusini jana aliwataka vingozi wa nchi mbalimbali duniani kuushinikiza utawala wa Israel ili kusitisha mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa usalama
Oct 14, 2024 22:47Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimetia saini mpango wa usalama wa mashariki mwa DRC ambao hatimaye unaweza kuondolewa kwa maelfu ya wanajeshi ambao Kigali inaaminika kuwapeleka katika eneo lenye machafuko.
-
Mkataba wa ushirikiano wa Mto Nile waanza kutekelezwa licha ya upinzani wa Misri na Sudan
Oct 13, 2024 23:13Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa Mkataba wa Ushirika wa Bonde la Mto Nile (CFA) ulianza kutekelezwa rasmi jana Jumapili licha ya Misri na Sudan kuendelea kuupinga.
-
Shambulio la anga laua watu 23 katika eneo la soko mjini Khartoum, Sudan
Oct 13, 2024 06:43Mtandao wa timu ya waokoaji wa kujitolea nchini Sudan umesema, jeshi la nchi hiyo limefanya shambulizi la anga kwenye eneo la soko mjini Khartoum na kusababisha vifo vya watu 23.
-
Gavana, mbunge wakamatwa Kenya baada ya mapigano ya koo kuua watu 18
Oct 13, 2024 04:30Gavana wa eneo la Tana River Kenya Dhado Godhana alikamatwa Jumamosi jioni kufuatia mapigano makali baina ya koo hasimu ambayo yamesababisha vifo vya watu 18 katika kipindi cha wiki iliyopita.
-
Umoja wa Afrika walaani hatua ya Israel ya kumpiga marufuku Guterres
Oct 13, 2024 03:35Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres "kuwa mtu asiyetakikana."
-
Wakazi wa Pwani Kenya wapinga ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha nyuklia eneo hilo
Oct 12, 2024 22:44Mpango Kenya wa kujenga kiwanda cha kwanza cha nishati ya nyuklia nchini humo unaonekana kukabiliwa na changamoto na kigingi kutokana na upinzani wa wakazi wa eneo la Pwani ambako ndipo kiwamda hicho kinatarajiwa kujengwa.
-
Watu milioni 1.9 waathiriwa na mafuriko Chad huku mikoa yote 23 ikiathiriwa
Oct 12, 2024 22:42Mikoa yote 23 ya Chad imeathiriwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini humo.