-
Rais wa Cameroon atoweka hajulikani alipo
Oct 12, 2024 08:25Kutoonekana hadharani kwa Rais Paul Biya wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91 kwa siku 30 zilizopita kumeisukuma nchi hiyo ya Afrika ya Kati katika hali ya kutokuwa na uhakika na uvumi kuhusiana na hali yake.
-
Kenya kupeleka kikosi kingine cha polisi nchini Haiti
Oct 12, 2024 03:50Rais William Ruto wa Kenya amesema nchi yake itapeleka kikosi kingine cha maafisa 600 wa polisi nchini Haiti ili kusaidia juhudi za kudumisha amani nchini humo.
-
Misri, Somalia na Eritrea zaunda muungano kukabiliana na Ethiopia
Oct 11, 2024 23:20Marais wa Somalia, Eritrea, na Misri wamekubaliana kuongeza ushirikiano kwa ajili ya usalama wa kikanda huku kukiwa na mvutano baina ya nchi hizo tatu na Ethiopia.
-
UN na Sudan Kusini zatia saini makubaliano ya kukabiliana na mafuriko
Oct 11, 2024 23:19Sudan Kusini na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Inayohusiana na Miradi (UNOPS) jana Ijumaa zilitiliana saini makubaliano ya kununua vifaa muhimu vya kukabiliana na mafuriko kwa ajili ya kaunti zilizokumbwa na mafuriko Sudan Kusini huku idadi ya watu walioathiriwa na mafuriko hayo ikiongezeka hadi 893,000.
-
Waziri Mkuu wa Burkina Faso: Ukraine inatoa msukumo kwa ugaidi Afrika ili kuidhoofisha Russia
Oct 11, 2024 04:05Waziri Mkuu wa Burkina Faso, Apollinaire Kyelem de Tambela amesema, Ukraine inayasaidia makundi ya magaidi katika eneo la Sahel barani Afrika; na inafanya hivyo kwa nia ya kuidhoofisha Russia ambayo inashirikiana kijeshi na nchi za eneo hilo.
-
Kongo yawazika kwa umati wahanga wa ajali mbaya ya boti
Oct 10, 2024 23:08Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewazika kwa umati watu waliopatikana katika ajali mbaya ya boti iliyosababisha vifo vya watu 78 kwenye Ziwa Tanganyika. Maziko hayo yamefanyika katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
"Afrika CDC" yataka vifaa vya matibabu vitengenezwe ndani ya nchi za Afrika
Oct 10, 2024 23:07Jean Kaseya, Mkuŕugenzi Mkuu wa Vituo vya Afŕika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afŕika CDC), ameelezea kusikitishwa mno na jinsi nchi za Afrika zilivyo tegemezi kupindukia katika vifaa vya matibabu wakati wa miripuko ya magonjwa.
-
Kenya yawa mwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la
Oct 10, 2024 07:43Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Kenya kuwa mwanachama katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu, kuanzia Januari mwakani (2025).
-
Misri yakanusha tuhuma za Hemedti kuwa inahusika katika mashambulizi ya anga dhidi ya RSF
Oct 10, 2024 03:44Misri mekanusha tuhuma zilizotolewa na kamanda wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) nchini Sudan, Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), kwamba nchi hiyo inashiriki katika mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vyake katika eneo la Jabal Muya katika jimbo la Sennar, katikati mwa Sudan.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni moja wamehama makazi yao DRC
Oct 10, 2024 00:05Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watu milioni moja wamehama makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuzorota hali ya usalama katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.