-
Watetezi wa watoto Tanzania wataka sheria za umri wa kuolewa ziangaliwe upya
Oct 10, 2024 00:04Watetezi wa haki za watoto wa kike nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubadilisha kipengele cha sheria ya ndoa kinachotoa ruhusa kwa mtoto wa kike kuolewa akiwa chini ya umri wa miaka 18.
-
Umoja wa Mataifa: Visa vya kipindupindu vyaongezeka Sudan
Oct 10, 2024 00:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, visa vya ugonjwa wa kipindupindu vimeongezeka nchini Sudan kwa karibu asilimia 40 chini ya kipindi cha wiki mbili.
-
Mamia wamepoteza maisha, zaidi ya milioni 1 wahama makazi yao kutokana na mafuriko huko Niger
Oct 09, 2024 10:28Mvua kubwa iliyonyesha nchini Niger imesababisha vifo vya watu 339 na kuwalazimisha wengine zaidi ya milioni 1.1 kuhama makazi yao tangu mwezi Juni mwaka huu hadi sasa.
-
Seneti ya Kenya kusikiliza hoja ya kumtimua Naibu Rais, Gachagua
Oct 09, 2024 08:59Spika wa Seneti ya Kenya, Amason Kingi, ameagiza kikao cha Baraza la Seneti kusikiza hoja ya kumtimua Naibu Rais Jumatano na Alhamisi wiki ijayo.
-
Wananchi wa Msumbiji wapiga kura kumchagua rais na wabunge
Oct 09, 2024 07:29Raia wa Msumbiji wasiopungua milioni 17 waliojiandikisha kupiga kura mapema leo walielekea katika vituo vya kura kwa lengo la kumchagua rais mpya, wawakilishi wa bunge na magavana wa majimbo ya nchi hiyo katika uchaguzi unaotazamiwa kwa kiasi kikubwa kukibakisha madarakani chama tawala cha FRELIMO ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 49 sasa.
-
Watu 21 wafariki dunia baada ya boti kugongana nchini Nigeria
Oct 09, 2024 03:33Polisi ya Nigeria jana ilithibitisha kupoteza maisha takriban watu 21 baada ya boti mbili za abiria ambazo hazikuwa zimesajiliwa kupinduka. Boti hizo zilipinduka baada ya kugongana katika jimbo la Lagos nchini Nigeria.
-
Bunge la Kenya lamtimua Naibu Rais, Rigathi Gachagua
Oct 09, 2024 00:13Bunge la Kitaifa la Kenya limepasisha kwa wingi wa kura hoja ya kumng’oa madarakani Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.
-
China kusaidia ujenzi wa kiwanda cha kwanza Afrika cha chanjo ya kipindupindu nchini Zambia
Oct 08, 2024 22:56Zambia imetia saini Hati ya Makubaliano (MOU) na China ya ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha utengenezaji chanjo ya kipindupindu nchini humo na barani Afrika pia.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya VOA ya Marekani
Oct 08, 2024 09:15Serikali ya Burkina Faso imesimamisha matangazo ya shirika la utangazaji la Sauti ya Marekani (VOA) linalofadhiliwa na Washington kwa muda wa miezi mitatu kwa 'kushajiisha ugaidi.'
-
Wanaharakati Malawi waitaka serikali isiunge mkono jinai za Israel Gaza
Oct 08, 2024 08:16Mashirika ya kiraia nchini Malawi yameiomba serikali ya Lilongwe kutazama upya msimamo wake kuhusu vita vya Israel huko Gaza "kwa sababu mtazamo na msimamo wake wa sasa ni kinyume na maadili yake ya amani na heshima kwa ubinadamu."