-
Watu 16 wauawa na wengine 20 wajeruhiwa katika mripuko wa bomu Nigeria
Aug 02, 2024 03:08Takriban watu 16 wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa katika mripuko mkubwa wa uliotokea katika soko la usiku kwenye jimbo la Bolrno la kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Togo yateua tena mwanamke kuwa Waziri Mkuu kwa muda wa miaka sita
Aug 02, 2024 03:07Rais Faure Gnassingbe wa Togo jana Alkhamisi alimteua tena Victoire Tomegah-Dogbe kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kwa muhula wa miaka sita chini ya katiba mpya.
-
Afrika Kusini yailaani Israel kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah
Aug 01, 2024 23:14Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mauaji ya kigaidi ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyah.
-
Wasiwasi watanda baada ya pipa linalotiliwa shaka kupatikana pwani ya Somalia
Aug 01, 2024 08:01Wananchi wa Somalia wameonywa kutokaribia pipa lililozibwa ambalo limesombwa na maji kwenye ufuo wa Puntland, huku kukiwa na wasiwasi kwamba huenda lina taka za sumu.
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa 2026
Aug 01, 2024 07:52Tume ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imetangaza ramani ya uchaguzi iliyorekebishwa ikitangaza tarehe ya uchaguzi wa rais na wabunge wa 2026.
-
Somalia na Sudan zalaani vikali jinai ya Israel ya kumuua mkuu wa kisiasa wa HAMAS
Aug 01, 2024 03:13Nchi mbili za Somalia na Sudan zimeungana na nchi nyingine nyingi duniani kulaani kwa maneno makali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumuua kidhulma na kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS aliyekuwa ziarani hapa Tehran.
-
MPOX: Kenya yathibitisha kesi ya kwanza ya maambukizo
Jul 31, 2024 23:19Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha maradhi ya homa ya nyani maarufu Mpox katika eneo la kusini-mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel-Fattah al Burhan anusurika katika jaribio la mauaji
Jul 31, 2024 08:19Jeshi la Sudan limetangaza kuwa kamanda wake mkuu, Jenerali Abdel-Fattah al Burhan amenusurika katika shambulio la ndege mbili sisizo na rubani (droni) katika hafla ya wahitimu wa jeshi. Watu watano wameuawa katika hujuma hiyo ya droni mashariki mwa Sudan.
-
Rwanda na DRC zakubaliana kusitisha mapigano mashariki mwa Congo
Jul 31, 2024 03:57Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano mashariki mwa DRC kuanzia Agosti 4 ya mwezi ujao katika mkutano uliofanyika mjini Luanda Angola.
-
Algeria yamwita nyumbani balozi wake kulalamikia hatua ya Ufaransa kuhusu Sahara Magharibi
Jul 31, 2024 03:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Algeria imemwita nyumbani balozi wake kutoka Ufaransa kupinga hatua ya serikali ya Paris kuingilia kati mpango wa Sahara Magharibi wa kuwa na mamlaka ya ndani.