-
Sheikh Mayunga, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Afrika Mashariki ameaga dunia
Jan 02, 2026 09:58Jamii ya Kiislamu Afrika Mashariki na hasa nchini Tanzania imekumbwa na msiba mkubwa kufuatia kufariki dunia kwa mwanazuoni mashuhuri, na mfasiri wa Qur'ani Tukufu, Sheikh Ali Jumaa Mayunga, aliyefariki dunia tarehe 1 Januari 2026, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
-
Wahamiaji kadhaa wakufa maji katika ajali ya boti Gambia
Jan 02, 2026 06:44Askari wa gadi ya baharini ya Gambia wameopoa majini miili saba ya wahamiaji wasio na vibali, huku wengine 96 wakiokolewa kufuatia ajali ya boti pwani ya nchi hiyo.
-
Ethiopia yawarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,000 waliokwama nje ya nchi
Jan 02, 2026 06:43Serikali ya Ethiopia imetangaza kwamba imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,300 waliokuwa wamekwama katika nchi za Myanmar na Saudi Arabia katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Karibu dola bilioni 50, deni la taifa la Libya
Jan 02, 2026 03:23Deni la taifa la Libya lilikuwa ni karibu dola bilioni 50 za Marekani mwaka 2024, hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Ofisi ya Ukaguzi ya Libya, ambayo huwa inatolewa mwishoni mwa kila mwaka unaofuata.
-
Jeshi la Somalia laangamiza makumi ya magaidi wa al-Shabaab
Jan 01, 2026 23:17Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab lenye misimamo ya kufurutu ada , wameangamizwa katika operesheni ya wanajeshi wa Somalia.
-
DRC: Watu 1,500 wameuawa mashariki mwa nchi
Jan 01, 2026 23:17Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema zaidi ya raia 1,500 wameuawa katika ghasia zinazoendelea katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo tangu mapema mwezi Desemba, 2025 mpaka sasa.
-
Somaliland yajitoa kimasomaso, yakanusha kuafiki kujengwa kambi za kijeshi za Israel
Jan 01, 2026 23:16Eneo la Somaliland la kaskazini mwa Somalia limekanusha madai kwamba lilikubali kuwa mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Israel na kuwapokea Wapalestina waliofurushwa kutoka Gaza ili kutambuliwa na Israel.
-
UN yakumbana na hali mbaya El Fasher katika ziara yake ya kwanza tangu mji huo udhibitiwe na RSF
Jan 01, 2026 07:43Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa mji wa El- Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan unapitia hali ya kutisha kwa binadamu.
-
Jeshi la Sudan lakomboa miji miwili ya Kordofan Kaskazini kutoka mikononi mwa RSF
Jan 01, 2026 02:16Jeshi la Sudan SAF limetangaza kuwa siku ya Jumatano lilirejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh iliyoko kwenye jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na kundi la RSF.
-
Rais wa Somalia: Somaliland inashirikiana na Israel dhidi ya Wapalestina
Dec 31, 2025 22:56Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amezinukuu ripoti za kiitelijinsia na kusema kuwa eneo lililojitenga la na nchi hiyo la Somaliland limekubali kuwapokea Wapalestina na kuanzishwa kambi ya kijeshi ya Israel katika eneo hilo mkabala wa kutambuliwa rasmi na Israel.