-
Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) kuunda jeshi la pamoja
Oct 01, 2025 07:57Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani amesema ulinzi na usalama ni nguzo kuu ya Shirikisho la Muungano wa Nchi za Sahel (AES), huku jumuiya hiyo ikijiandaa kuunda kikosi cha pamoja cha majeshi ya nchi hizo.
-
UN yataka kutekelezwa azimio la kusitisha mapigano mashariki mwa DRC
Oct 01, 2025 03:00Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki mwa nchi hiyo lazima litekelezwe.
-
DRC: Joseph Kabila ahukumiwa adhabu ya kifo
Sep 30, 2025 23:18Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri yya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.
-
Gen-Z wa Morocco waendelea kuandamana wakitaka kuboreshwa elimu, afya
Sep 30, 2025 23:03Maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen-Z ya kushinikiza kuboreshwa huduma hospitalini na shuleni yameenea katika miji mbali mbali ya Morocco.
-
Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel
Sep 30, 2025 09:04Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Wafanyakazi wa sekta ya mafuta Nigeria waendelea na mgomo wakipinga kupunguzwa wafanyakazi katika kiwanda cha Dangote
Sep 30, 2025 08:28Ofisi za idara ya Udhbiti wa Mafuta na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Nigeria zimefungwa kutokana na mgomo wa kitaifa ulioanzishwa na jumuiya ya wafanyakazi wa sekta ya mafuta baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kuwafuta kazi zaidi ya wafanyakazi 800.
-
Namibia yafanikiwa kuzuia kuenea moto uliounguza zaidi ya theluthi moja ya mbuga ya taifa
Sep 30, 2025 08:28Indileni Daniel Waziri wa Mazingira, Misitu na Utalii wa Namibia amesema kuwa nchi yake imeathiriwa na moto mkubwa wa nyika ambao umeteketeza zaidi ya theluthi moja ya Mbuga ya Taifa ya Etosha, mojawapo ya hifadhi kubwa zaidi barani Afrika.
-
Rais wa Madagascar avunja serikali sambamba na watu wasiopungua 22 kuuawa katika maandamano
Sep 30, 2025 03:35Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameivunja serikali yake siku ya Jumatatu kutokana na kupamba moto maandamano ya upinzani yanayoongozwa na vijana ya kulalamikia uhaba mkubwa wa maji na umeme, mgogoro ambao kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa umesababisha vifo vya watu wasiopungua 22 na kujeruhiwa zaidi ya 100 katika kile kinachotajwa kama changamoto kubwa zaidi kuukabili utawala wake baada ya miaka kadhaa.
-
Sudan yatoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko nchini
Sep 29, 2025 22:59Sudan imetoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikisema kuwa viwango vya maji vimeongezeka katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.
-
Je, uzoefu wa kupambana na ubaguzi wa rangi unaweza kuulazimisha utawala wa Kizayuni kuondoka Ghaza?
Sep 29, 2025 22:53Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano makubwa na ya kihistoria hivi karibuni wakitaka kuvunjwa kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara wa nchi hiyo na utawala dhalimu na wa ubaguzi wa rangi wa Israel.