-
Tanzania yatilia mkazo katika mkutano wa UNGA dai la Afrika kuwa na viti viwili vya kudumu katika UNSC
Sep 26, 2025 22:54Makamu wa Rais wa Tanzania Philip Mpango amesisitiza msimamo wa muda mrefu wa bara la Afrika wa kudai kuwa na angalau viti viwili vya kudumu vyenye kura ya turufu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kwa mujibu wa Makubaliano ya Ezulwini.
-
Intelijensia ya Somalia yaua magaidi 24 wa Al Shabaab, yumo kiongozi wake anayewindwa kwa muda mrefu
Sep 26, 2025 22:52Shirika la Intelijensia na Usalama la Somalia (NISA) limetangaza kuwa limetekeleza operesheni ya mashambulizi iliyowalenga viongozi wa kundi la kigaidi la Al-Shabab na kuua magaidi 24 akiwemo kiongozi wa kundi hilo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu.
-
Kwa nini nchi tatu za Kiafrika zimejitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ?
Sep 26, 2025 22:44Nchi tatu za Kiafrika zimetangaza kuwa zimehitimisha unachama wao katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Waziri Mkuu wa Sudan ataka dunia iwatambue waasi RSF kama magaidi
Sep 26, 2025 07:24Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, siku ya Alhamisi ameitaka jumuiya ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kulitambua kundi la waasi la RSF nchini humo kama “kundi la kigaidi.”
-
Malawi yapongezwa kimataifa kwa kuendesha uchaguzi huru na wa haki
Sep 26, 2025 02:59Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) na waangalizi wa kikanda na kimataifa wamesifu uchaguzi wa rais wa Septemba 16 nchini humo na kusema kuwa ulikuwa huru na wa haki.
-
Jeshi la Algeria laua wanamgambo 6 katika operesheni ya kukabiliana na ugaidi
Sep 26, 2025 02:58Jeshi la Algeria limeua magaidi sita wakati wa operesheni ya kukabiliana na ugaidi wiki hii katika mkoa wa Tebessa, yapata kilomita 700 mashariki mwa mji mkuuu, Algiers.
-
Umoja wa Afrika wampongeza Mutharika kwa kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais
Sep 25, 2025 23:01Umoja wa Afrika umempongeza Peter Mutharika kwa kushinda uchaguzi wa urais wa Malawi na kuwasifu wananchi wa Malawi kwa kuendesha kampeni za uchaguzi kwa amani na utulivu.
-
Rais wa Somalia ataka kusimamishwa vita haraka Ukanda wa Gaza; asikitishwa na masaibu ya Wapalestina
Sep 25, 2025 23:00Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa nchi yake inaendelea kutiwa wasiwas sana na mateso na masaibu wanayopitia wananchi wa Palestina na kutaka kufikia mapatano ya kusimamisha vita haraka iwezekanavyo katika Ukanda wa Gaza.
-
Mripuko wa Ebola: Kesi kumi na moja zathibitishwa nchini Kongo
Sep 25, 2025 22:59Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliana na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, huku maafisa wa afya wakithibitisha kesi kumi na moja za ziada katika Ukanda wa Afya wa Bulape katika Mkoa wa Kasai.
-
Maelfu waandamana Tunisia kuiunga mkono Ghaza
Sep 25, 2025 08:50Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mikoa na miji mikubwa yote ya nchi hiyo kuunga mkono kundi la Global Fleet of Resistance na pia kuunga mkono mapambano ya kuhakikisha vita vinakomeshwa Ghaza na mzingiro wa kidhulma dhidi ya ukanda huo unavunjwa.