-
Takht-Ravanchi: Oman ni jirani wa kuaminika wa Iran na mshirika muhimu
Nov 01, 2025 00:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaja ziara yake ya hivi karibuni nchini Oman kuwa yenye manufaa.
-
Zaidi ya watoto 22,000 wameuawa katika mashambulizi ya Israel Gaza
Oct 30, 2025 10:27Mkurugenzi wa idara ya magonjwa ya watoto na uzazi katika Kituo cha Tiba cha Nasser huko Gaza amesema leo Alkhamisi kuwa, zaidi ya watoto 22,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika Ukanda huo tangu kuanza kwa mashambulizi ya utawala wa Israel (Oktoba 2023).
-
Iran na Niger zasisitiza kupanua ushirikiano wa utalii
Oct 30, 2025 10:21Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Niger leo Alkhamisi amebadilishana mawazo na Waziri wa Utalii na Kazi za Mikono wa nchi hiyo kuhusu ushirikiano wa pamoja katika uga wa utalii.
-
Belarusi: Tuna azma thabiti ya kupanua ushirikiano wetu na Iran
Oct 30, 2025 02:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus amefanya mazungumzo na Naibu Waziri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kisiasa na Kimataifa cha Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran na kusisitiza nia na azma thabiti ya nchi yake ya kupanua ushirikiano na Iran.
-
Iran yalaani kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza
Oct 30, 2025 01:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi makubwa ya anga ya utawala wa Israel katika maeneo mbalimbali ya kusini, katikati na kaskazini mwa Gaza.
-
Makamu wa Rais: Maadui wanapasa kujifikiria mara mbili kabla ya kuichokoza Iran
Oct 29, 2025 03:49"Tuna uhakika kwamba ikiwa maadui wana chembe ya sababu hawatathubutu kupanga shambulio jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran," amesema Jumanne hii Muhammad -Reza Aref Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yalaani mashambulizi dhidi ya raia katika jimbo la Darfur, Sudan
Oct 29, 2025 03:30Wizara ya Mambo ya Nje imeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, na kulaani mauaji ya raia na uharibifu wa miundombinu katika mji wa El-Fasher.
-
Makubaliano ya mpaka kati ya Iran na Afghanistan
Oct 28, 2025 02:25Kikao cha maafisa wa ngazi za juu wa mpaka kati ya Iran na Afghanistan kimefanyika kwa kuhudhuriwa ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran.
-
Idadi ya mashahidi huko Gaza imefikia 68,527
Oct 28, 2025 02:21Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza imefikia 68,527.
-
Velayati: Uhusiano wa Iran na China ni wa kimkakati na wa kina
Oct 27, 2025 06:52Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa wa kina uhusiano wa kihistoria na mzuri uliopo kati ya Iran na China na kusema: "Uhusiano wa nchi hizo mbili una wigo wa kistratejia na wenye mizizi mirefu."