-
Ufaransa yatangaza kuwa tayari kutuma wanajeshi nchini Ukraine
Oct 26, 2025 10:19Pars Today- Mkuu wa Komandi Kuu ya Jeshi la Ufaransa ametangaza kwamba ikiwa Russia na Ukraine zitafikia makubaliano ya kusitisha mapigano, Paris itakuwa tayari kutuma wanajeshi nchini Ukraine kama sehemu ya kutoa dhamana za usalama kutoka kwa nchi za Magharibi.
-
Malaysia yashuhudia maandamano makubwa dhidi ya Israel na Marekani
Oct 26, 2025 06:09Maandamano makubwa yamefanyika nchini Malaysia kuunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani himaya ya Marekani kwa Israel na jinai za utawala huo ghasibu katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkuu wa majeshi ya Yemen auawa katika mashambulizi ya Israel
Oct 17, 2025 06:56Mkuu wa Majeshi ya Yemen, Meja Jenerali Mohammad Abd al-Karim al-Ghamari ameripotiwa kuuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya Israel, pamoja wapamba wake kadhaa na mtoto wake wa kiume aliyekuwa na umri wa miaka 13, Hussein al-Ghamari.
-
Balozi wa Marekani Denmark alalamikiwa kuhusu juhudi za Marekani kujipenyeza kwa siri Greenland
Aug 28, 2025 08:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark ilitangaza Jumatano kwamba imemwita balozi wa Marekani kufuatia ripoti za intelijensia zinazosema kwamba raia wa Marekani wamehusika kwa siri katika kuchochea upinzani dhidi ya mamlaka ya Copenhagen huko Greenland.
-
Save The Children: Njaa huko Gaza ni ya makusudi na ya kubuniwa
Aug 28, 2025 08:12Katika taarifa yake siku ya Jumatano, mkuu wa shirika la kimataifa la Save the Children ameashiria hali mbaya ya Gaza na kusema njaa katika ukanda huo ni jambo lililopangwa, linalotabirika na linalosababishwa na mwanadamu.
-
Yemen yashambulia uwanja wa ndege wa Ben-Gurion kwa kombora la masafa marefu
Aug 28, 2025 08:09Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv umelengwa kwa shambulio la kombora la balestiki la nchi hiyo.
-
Jerusalem Post: Wayemen hawawezi kushindwa
Aug 28, 2025 08:08Katika ripoti yake ya siku ya Jumatano, gazeti moja la Kizayuni sambamba na kusisitiza kutoweza kushindwa taifa la Yemen limesema kuwa, utawala ghasibu wa Israel hautaki kuingia katika mzozo wa moja kwa moja na Yemen.
-
Utumiaji mbaya wa silaha Marekani wasababisha vifo vya watu wawili
Aug 28, 2025 08:05Shule moja katika mji wa Minneapolis, ulioko katika jimbo la Minnesota, siku ya Jumatano, ilishuhudia maafa mengine yaliyotokana na utumizi mbaya wa silaha zilizoko mikononi mwa raia.
-
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusiana na uamuzi wa serikali ya Australia wa kupunguza kiwango cha uhusiano wa kidiplomasia na Iran
Aug 27, 2025 12:53Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha taarifa ikiutaja uamuzi wa serikali ya Australia wa kupunguza kiwango cha uhusiano wa kidiplomasia na Iran kuwa kinyume na utamaduni wa uhusiano mkongwe wa nchi hizi mbili.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran: Hatuna budi ila kuwa na nguvu
Aug 27, 2025 12:51Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran haina chaguo jingine isipokuwa kujiimarisha kijeshi na kuwa na nguvu.