-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 9
Feb 09, 2026 03:38Natumai hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tutupie jicho matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Alfajiri Kumi- Sekta ya afya ya Iran kabla na baada ya Mapinduzi
Feb 05, 2026 11:20Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Kipindi chetu kinazungumzia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya afya na ustawi wa jamii.
-
Jumatano, 04 Februari, 2026
Feb 03, 2026 22:48Leo ni Jumatano tarehe 15 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 04 Februari 2026.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 2
Feb 02, 2026 03:14Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tutupie jicho matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Jumatatu, 26 Januari, 2026
Jan 25, 2026 23:06Leo ni Jumatatu 6 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 26 Januari 2026.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 26
Jan 26, 2026 05:48Hujambo msikilizaji mpenzi, na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita kote duniani.
-
Nyayo za Madola ya Kigeni katika Machafuko ya Iran: Simulizi ya Nyaraka ya Uingiliaji Kati wa Marekani na Israel
Jan 26, 2026 00:53Leo tunafuatilia nyayo za kuhusika Marekani na Israel katika ghasia na machafuko ya karibuni nchini Iran..
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 19
Jan 19, 2026 05:17Hujambo msikilizaji mpenzi, na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, ikiwemo fainali ya michuano ya AFCON. Nakusihi tuwe sote hadi tamati ya kipindi…..Karibu…….
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 12
Jan 12, 2026 03:07Natumai mambo yako yanakuendea shwari msikilizaji mpenzi, na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Kumbukumbu Maalumu ya Kuuawa Shahidi Jenerali Haj Qassem Soleimani
Jan 10, 2026 04:03Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani.