-
"Kimya kilichovunjwa: "Haki za wanawake katika nchi za Ulaya" Ukatili na unyanyasaji majumbani nchini Ujerumani na takwimu zake za kutisha
Dec 11, 2025 07:27Natumai mu buheri wa afya wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha
Nov 29, 2025 01:17Karibuni kutupia jicho kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba kichwa cha maneno: 'Sarajevo Safari'. Ni kipindi kinachohusu mojawapo ya ukatili wa kutisha na usiozungumziwa sana wa vita vya Bosnia; Ni tukio maarufu la "Sarajevo Safari" ambapo matajiri wa kigeni wa nchi za Magharibi waliwapiga risasi watu raia wasio na ulinzi kutoka juu ya vilima vinavyozunguka jiji la Sarayevo kwa ajili ya burudani, kujifurahisha, na kupata msisimko, mkabala wa kutoa pesa.
-
Jumamosi, 22 Novemba, 2025
Nov 21, 2025 22:55Leo ni Jumamosi Mosi Mfunguo Tisa Jamaduthani 1447 Hijria mwafaka na 22 Novemba 2025 Miladia
-
El Fasher, Hadithi ya Kuanguka Mji
Nov 07, 2025 13:02El Fasher sio jina la mji tu; bali ni jeraha lililowazi la dhamiri ya dunia. Katika kipindi chetu leo, tunasimulia mzingiro uliozuia mkate wa watu, na hujuma iliokata pumzi za watoto. Ni simulizi fupi lakini sahihi, inayotuhimiza sisi sote kuelekeza mazingatio yetu kwa maafa ya binadamu yanayotokea huko Sudan....
-
Vyombo vya habari vinavyotumikia jinai (Google; mshirika katika jinai za Netanyahu)
Oct 30, 2025 08:51Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki. Kipindi hiki kinachunguza dhulma ya vyombo vya habari kuanzia namna taarifa zilivyokusanywa na kufikishwa kwa watu hadi matangazo kuhusu kampeni za kipropaganda zilizofanywa na serikali ya Israel na kinafafanua ni kwa namna gani ueledi wa masuala ya vyombo vya habari na haja ya kuwepo uwazi vinaweza kudhihirisha uhakika na kuutoa chini ya vifusi vya upotoshaji. ******
-
Jumatatu, tarehe 27 Oktoba, 2025
Oct 26, 2025 23:00Leo ni Jumatatu tarehe 5 Jamadil Awwal mwaka 1447 Hijria sawa na Oktoba 27 mwaka 2025.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 20
Oct 20, 2025 03:32Hujambo msikilizaji mpenzi, nina wingi wa matumaini kwamba u mzima wa afya. Karibu tuangazie japo kwa ufupi, baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani katika muda wa siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa. Nakusihi usibanduke hapo ulipo hadi tamati ya kipindi….
-
"Weupe wa Matumaini" - Maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani
Oct 18, 2025 05:41Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika makala yetu ya wiki hii ambayo tumewaandalia kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani; siku ya kusherehekea irada, uhuru na utu wa watu wasioona au vipofu na kuanzishwa jitihada za kisayansi, kiteknolojia na kijamii nchini Iran na ulimwenguni kwa ujumla ili kuwaandalia jamii ya watu hao maisha rahisi na bora zaidi.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 13
Oct 13, 2025 08:21Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio yaliyotifua mavumbi viwanjani ndani ya siku zilizopita duniani, kuanzia hapa Iran hadi barani Afrika.
-
Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa
Oct 07, 2025 07:05Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya Qur'ani Tukufu ambapo katika Surat Muhammad, aya ya 7 tunasoma: "Mkimnusuru Mwenyezi Mungu basi na Yeye atakunusuruni."