-
Iran yalaani matumizi ya nguvu dhidi ya Waislamu Nigeria, yataka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru haraka
Jul 23, 2019 03:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuna wajibu wa kulinda usalama na utulivu nchini Nigeria na pande husika kujiepusha kutumia nguvu kadiri zinavyoweza ili kudumisha amani na usalama wa raia nchini humo.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwamba Palestina ndilo suala muhimu zaidi kwa Uimwengu wa Kiislamu
Jul 22, 2019 23:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei siku ya Jumatatu aliupokea ujumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HaMAS). Katika mazungumzo na ujumbe huo, Ayatullah Khamenei alisisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia nambari moja na ndilo suala muhimu zaidi kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza ni kielelezo cha azma ya Iran ya kujibu vitisho
Jul 22, 2019 23:51Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jibu la Iran dhidi ya hatua isiyosahihi ya Uingereza na kusimamisha meli ya mafuta ya Iran katika maji ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha azma na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu wa kutoa jibu kwa vitisho vya aina yoyote.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatima ya Kadhia ya Palestina bila shaka itakuwa ni kwa manufaa ya Wapalestina
Jul 22, 2019 07:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ushindi haupatikani bila ya muqawama na mapambano na kwa mujibu wa ahadi isiyo na shaka ya Mwenyezi Mungu, hatima ya kadhia ya Palestina bila shaka itakuwa ni kwa manufaa ya Wapalestina.
-
Dakta Zarif: Mpango wa 'Muamala wa Karne' utagonga mwamba
Jul 22, 2019 02:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' utashindwa na kugonga mwamba.
-
Dakta Kharrazi: Kukombolewa Palestina ni miongoni mwa malengo makubwa ya Iran
Jul 21, 2019 22:02Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukombolewa Palestina na mji mtakatifu wa Quds ni katika malengo makkuubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan
Jul 21, 2019 08:01Wanachama wawili wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wameuawa shahidi katika makabiliiano na magaidi kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka wa Pakistan.
-
Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza
Jul 21, 2019 07:48Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelishukuru na kulipongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza ya "Stena Impero" baada ya meli hiyo kujaribu kupita kwenye Lango Bahari la Hormuz bila ya kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Chama cha madaktari Iran chaonya kuhusiana na hali ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 21, 2019 06:45Chama cha Wahadhiri na Wanachuo wa Sayansi ya Tiba nchini Iran kimetahadharisha kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Video ya makomando wa SEPAH walipoisimamisha meli ya Uingereza Ghuba ya Uajemi
Jul 21, 2019 02:47Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH limesema kuwa halina muhali katika kutekeleza sheria na kulinda mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.