-
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran aitaka serikali ya Nigeria imuachilie huru Sheikh Zakzaky
Jul 20, 2019 23:52Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya wanajeshi wa Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kutoa wito wa kuachiliwa huru mwanazuoni huyo na kuletwa hapa Iran kwa ajili ya matibabu.
-
Zarif aionya Marekani 'isiichezee Iran'
Jul 20, 2019 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo kijeshi wa Marekani katika kila pembe ya dunia na kusema kuwa, kuwepo huko kwa Washington ndio sababu ya "kukosekana amani na uthabiti".
-
Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa
Jul 19, 2019 22:45Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran asisitizia kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 19, 2019 10:22Khatibu wa Swala ya Ijuma mjini Tehran ameonyesha wasi wasi mkubwa alionao kutokana na kuwa mbaya hali ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria katika korokoro anakoshikiliwa, na kusisitiza ulazima wa kuachiliwa huru kiongozi huyo wa kidini.
-
IRGC: Hivi karibuni tutaonyesha picha za meli ya Marekani zilizochukuliwa na ndege zetu ili kufichua uongo wa Trump
Jul 19, 2019 10:10Ofisi Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) imetoa radiamali kufuatia madai ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa meli ya kivita ya nchi hiyo imetungua ndege isiyo na rubani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kusimamishwa meli ya kigeni katika Ghuba ya Uajemi; mapambano ya Iran dhidi ya magendo ya mafuta
Jul 19, 2019 03:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC au SEPAH limetangaza kwamba limetumia kibali cha mahakama kusimamisha meli moja iliyokuwa imebeba mafuta ya magendo katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Araqchi: Labda Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran
Jul 19, 2019 03:08Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu madai ya rais wa Marekani ya kwamba meli ya kivita ya nchi hiyo eti imetungua ndege isiyo na rubani ya Iran katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, pengine Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA
Jul 19, 2019 01:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.
-
Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri
Jul 18, 2019 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, sera za vikwazo za serikali ya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni ugaidi; na akasisitiza kwamba: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi
Jul 18, 2019 02:48Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za Marekani za kuliwekea vikwazo taifa la Iran ni ugaidi na kwamba, Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.