-
Wanachuo na wananchi wa Iran wakusanyika mbele ya ubalozi wa Nigeria kutaka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Jul 17, 2019 22:48Umati mkubwa wa wanachuo wa Kiirani na wa kigeni pamoja na wananchi jana walikusanyika mbele ya ubalozi wa Nigeria hapa mjini Tehran kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wao kwa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Ayatullah Hamedani awataka wapigania uhuru kumuunga mkono Sheikh Zakzaky
Jul 17, 2019 21:59Ayatullah Hossein Noori-Hamedani mmoja wa marajii taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia amewataka wapigania uhuru na Waislamu wote ulimwenguni kumuunga mkono Sheikkh Ibrahim, Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Kumwekea vizuizi Zarif vya kutembea mjini New York; hofu na kiwewe cha Marekani kwa nguvu ya diplomasia ya Iran
Jul 17, 2019 07:31Serikali ya Marekani imechukua hatua inayokinzana na taratibu za kidiplomasia kwa kumwekea mpaka na kizuizi cha kutemebea Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika mji wa New York.
-
Iran yaisaidia meli ya mafuta ya kigeni baada ya kuombwa msaada Ghuba ya Uajemi
Jul 16, 2019 22:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jana usiku meli moja ya kigeni ya mafuta iliomba msaada wa Iran baada ya kukumbwa na matatizo ya kiufundi katika eneo la Ghuba ya Uajemi, na maafisa wa Iran waliitikia haraka ombi hilo.
-
Kamalvandi: Iran sasa inarutubisha urani kwa kiwango cha asilimia 4.5
Jul 16, 2019 22:07Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ameeleza kuwa hivi sasa Iran inarutubisha urani kwa kiwango cha asilimia 4.5 (asilimia nne na nusu). Amesema urutubishaji huo ni sawa na treni ya mwendokasi ambapo kituo kitakachofuata kitakuwa ni kutoka asilimia 4.5 hadi 20.
-
Kiongozi Muadhamu: Tumeanza kupunguza ahadi zetu za JCPOA na tutaendelea kupunguza
Jul 16, 2019 06:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali misimamo ya nchi za Ulaya na kushindwa kwao kutekeleza ahadi zao ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwa kusema: Sisi ndio kwanza tumeanza kupunguza hadi zetu ndani ya mapatano hayo na bila ya shaka tutaendelea tu kupunguza utekelezaji wa ahadi zetu ndani ya JCPOA.
-
Zarif: Iran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 16, 2019 05:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia.
-
Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky
Jul 16, 2019 02:44Jumuiya ya Wanazuoni wa Hauza ya Kidini ya Qom hapa nchini Iran sambamba na kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni katika mazingira mabaya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi Nigeria, wameitaka serikali ya Abuja imuachie huru kiongozi huyo wa Waislamu ya madhehebu ya Shia.
-
Nchi za Ghuba ya Ujemi kudhamini usalama wa njia za majini za eneo
Jul 16, 2019 01:26Ali Rabii, msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na waandishi habari kuwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi ndizo zitakazolinda na kudhamini usalama wa njia za majini za eneo hili.
-
Zarif: Iran haitasita katika kujilinda na kulihami taifa
Jul 16, 2019 00:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaki mivutano lakini kama itashambuliwa, basi haitasita hata kidogo kujibu mapigo na kujihami.