-
Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa
Jul 02, 2019 22:04Kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, Iran imevuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa.
-
Dakta Ali Lariijani: Kwa kipindi chote cha historia, Wairani wamesimama imara dhidi ya maadui
Jul 02, 2019 22:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) amesema kuwa kwa kipindi chote cha historia Wairan walisimama imara mbele ya maadui.
-
Radiamali ya Uingereza kwa hatua ya Iran ya kuzidisha akiba ya urani iliyorutubishwa
Jul 02, 2019 03:47Jeremy Hunt Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amedai kuwa nchi hiyo imedhamiria kusaidia utekelezaji mzuri wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Larijani: Iran haitakaa kimya mbele ya harakati za Marekani
Jul 01, 2019 22:30Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) amezungumzia hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Tehran na kusema Jamhuri ya Kiislamu haitakaa kama mtazamaji tu mbele ya hatua hizo za Marekani.
-
Zarif: Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Jul 01, 2019 07:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa, Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Iran yaidhinisha kanuni ya kuwapatia kibali cha ukaazi raia wa nje wanaowekeza hapa nchini
Jul 01, 2019 03:07Baraza la Mawaziri la Iran jana alasiri liliidhinisha kanuni za kuwapatia kibali cha ukaazi raia wa nchi za nje kwa muda wa miaka mitano kwa lengo la kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje na kuimarisha vyanzo vyake vya fedha za kigeni.
-
Kushindwa ndege ya ujasusi ya Global Hawk, mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani
Jun 30, 2019 20:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya sheria na ya kimataifa amesema kuwa, Tehran imeishitaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na ndege yake ya ujasusi ya Global Hawk kukiuka anga yake.
-
Mousavi: Iran inajibu diplomasia kwa diplomasia na mashinikizo kwa muqawama
Jun 30, 2019 08:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya uropokojaji ya hivi karibuni ya viongozi wa Marekani khususan Msemaji wa Baraza la Usalama wa Taifa la nchi hiyo aliyesema kuwa Iran inapasa kujibu diplomasia kwa diplomasia kwa kusema: Iran inajibu diplomasia kwa diplomasia na mashinikizo kwa muqawama.
-
Waislamu waomboleza mauaji ya mjukuu wa Mtume, Sadiq Aali Muhammad
Jun 29, 2019 12:25Waislamu wa Iran na baadhi ya maeneo mengine ya dunia leo tarehe 25 Mfunguo Mosi Shawwal wameshiriki katika shughuli ya kukumbuka na kuomboleza mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ja'far Sadiq (as).
-
Taarifa ya mwisho ya kikao cha kamisheni ya JCPOA yatolewa Vienna
Jun 29, 2019 12:24Kamisheni ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA imetoa taarifa mwishoni mwa kikao chake huko Vienna na kutangaza kuwa wanachama wa JCPOA wanafanya jitihada za kufungua mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya, Instex mbele ya wadau wa masuala ya uchumi wa nchi nyingine.