-
Zarif: Iran kamwe haitasahau uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa Saddam
Jun 29, 2019 12:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitasahau uungaji mkono wa nchi za Magharibi na misaada ya silaha za nchi hizo zikiwemo silaha za kemikali kwa dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein.
-
Viongozi wa Ujerumani na China wasisitiza kutatuliwa kwa amani kadhia ya nyuklia ya Iran
Jun 28, 2019 23:28Wakuu wa nchi mbili za China na Ujerumani wamesisitiza kutatuliwa kwa amani kadhia ya nyuklia ya Iran. Wamesema hayo katika mazungumzo yao pambizoni mwa kikao cha viongozi wa G20 mjini Osaka, Japan.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu umeshuhudia ushindi mtawalia
Jun 28, 2019 11:03Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema umma wa Kiislamu umeshuhudia mfufulizo wa ushindi na mafanikio licha ya vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani.
-
Iran yaitaka Marekani iangamize silaha zake za kemikali
Jun 28, 2019 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa, dunia itakuwa pahala salama iwapo Marekani itaangamiza silaha zake hatari za kemikali.
-
Amir Hatami: Wanaodai kutetea haki za binadamu hawaoni jinai zinazofanyika Yemen?
Jun 28, 2019 03:45Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa mauaji yanayoendelea kufanywa katika eneo la Mashariki ya Kati dhidi ya watu wasio na hatia hususan watu wanaodhulumiwa wa Yemen kwa kutumia silaha za nchi za Magharibi ni ukurasa mwingine wa jinai za nchi za Magharibi unaosajiliwa katika historia.
-
Lavrov: Makundi ya kigaidi yanaitambua Iran kuwa ni adui wao mkuu
Jun 28, 2019 02:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amepinga madai ya Marekani kwamba Iran inaunga mkono ugaidi na kusisitiza kuwa, makundi ya kigaidi yanaitambua Jamhuri ya Kiislamu kuwa ndiye adui wao mkuu.
-
Admirali Fadavi: Nguvu za kijeshi za Iran zinaifanya Marekani isithubutu kulenga hata risasi moja
Jun 27, 2019 23:05Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimepelekea Marekani na waitifaki wake kutothubutu kulenga hata risasi moja dhidi ya Iran.
-
Zarif amjibu Trump, asema 'vita vifupi na Iran' ni njozi
Jun 27, 2019 10:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja kama njozi na ndoto za alinacha matamshi ya Rais Donald Trump ambaye amedai kuwa iwapo Marekani itaingia katika vita na Iran, basi vita hivyo havitadumu kwa muda mrefu.
-
Kiongozi Muadhamu: Lengo kuu la pendekezo la mazungumzo la Marekani ni kulipokonya taifa la Iran silaha zake imara
Jun 27, 2019 05:00Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asubuhi ya jana Jumatano alionana na mkuu na maafisa, majaji na wafanyakazi wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa lengo kuu la pendekezo la Marekani kuhusu kufanya mazungumzo na Iran ni kutaka kulipokonya silaha taifa hili na kulipora njia zinazoifanya Iran kuwa imara.
-
Amir Abdollahian: Njia pekee ya kuokoka Trump ni kubadilika mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu wa Iran
Jun 27, 2019 08:15Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kuokoka rais wa Marekani, Donald Trump ni kubadilisha mienendo yake mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu na taifa kubwa la Iran.