-
Kamanda wa IRGC: Vikwazo dhidi ya Iran ni ishara ya kukata tamaa Marekani
Jun 26, 2019 21:52Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya makamanda wa IRGC ni ishara ya kilele cha kukata tamaa, hasira na kushindwa Wamarekani katika kukabiliana na Iran.
-
Rais Rouhani: Iran haitaki vita na mapigano Ghuba ya Uajemi
Jun 26, 2019 08:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaki vita na mapigano katika eneo la Ghuba ya Uajemi lakini haitaruhusu maadui kuvuka mipaka yake kinyume cha sheria.
-
Vikwazo vipya vya Marekani kwa mtazamo wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; Marekani imetoka katika mkondo wa mantiki
Jun 26, 2019 07:45Hatua ya kumuwekea vikwazo kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa kisiasa, kijamii, kidini na kimaanawi wa nchi ambaye si tu ni kiongozi wa Iran bali ni kiongozi wa wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waislamu kote ulimwenguni ni kitendo cha mzaha na upumbavu.
-
Kiongozi Muadhamu: Pendekezo la kufanya mazungumzo na Marekani ni hadaa tupu
Jun 26, 2019 06:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa lengo kuu la pendekezo la Marekani la kufanya mazungumzo na Iran ni kutaka kulinyang'anya taifa la Iran silaha na sababu za nguvu na uwezo wake.
-
Kamanda wa IRGC: Marekani haina ubavu na ujasiri wa kuishambulia Iran
Jun 26, 2019 03:11Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema hakuna nchi yoyote ile duniani ikiwemo Marekani yenye ujasiri, ubavu na uthubutu wa kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena
Jun 25, 2019 22:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.
-
Iran ni miongoni mwa nchi zinazoshirikiana zaidi kimataifa kuhusu suala la haki za binadamu
Jun 25, 2019 22:21Licha ya kuwa suala la haki za binadamu kidhahiri lina wafausi na watetezi wengi lakini ukweli wa mambo ni kuwa suala hilo linatumiwa na watetezi hao wa kidhahiri kwa shabaha ya kufikia malengo yao ya kisiasa.
-
'Kutunguliwa droni ya Marekani kumeibua fahari, izza na ghera ya Wairani'
Jun 25, 2019 07:53Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutunguliwa ndege isiyo na rubani (drone) ya Marekani baada ya kukiuka anga ya Iran ni jambo ambalo limeibua ghera, izza na furaha ya Wairani.
-
Rouhani: Kumuwekea vikwazo Kiongozi Muadhamu ni ishara ya kudorora kiakili wakuu wa Marekani
Jun 25, 2019 07:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vipya na kusisitiza kuwa: "Kumuwekea vikwazo kiongozi wa ngazi za juu zaidi wa kisiasa, kijamii, kidini na kimanawi wa nchi ambaye si tu kuwa ni kiongozi wa Iran bali ni kiongozi wa wanaoyapenda Mapinduzi ya Kiislamu na Waislamu kote duniani ni hatua ya kichekesho na kijuba."
-
Iran: Vikwazo vipya vinaashiria namna Marekani isivyoheshimu sheria za kimataifa
Jun 25, 2019 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ni ithibati nyingine tosha kuwa utawala wa Washington hauko tayari kuheshimu sheria za kimataifa.