-
Dkt. Larijani: Muqawama ni rasilimali ya kitaifa ya Lebanon
Aug 13, 2025 08:40Dkt. Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, muqawama ni mtaji na rasilimali ya kitaifa la Lebanon.
-
Araqchi: Umewadia wakati wa vikwazo kutambuliwa kama jinai dhidi ya ubinadamu
Aug 13, 2025 08:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Wakati umefika kwa vikwazo visivyo vya kibinadamu vilivyowekwa na Marekani na washirika wake kutambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu."
-
Kwa nini uwezo tofauti wa Iran unatoa fursa ya kipekee kwa maendeleo ya nchi za Kiafrika?
Aug 13, 2025 08:19Katika hali ambayo nchi nyingi za Kiafrika zinakabiliwa na changamoto za miundombinu na ukosefu wa teknolojia mpya, Iran imetoa fursa mpya za ushirikiano na ubadilishanaji wa teknolojia kwa kutegemea uwezo wake wa kiufundi, kiuhandisi na kitaalamu.
-
Maafisa wa nyuklia wa Iran: Hakuna kujisalimisha mbele ya mashinikizo; tuko tayari hadi mwisho wa vitisho
Aug 13, 2025 03:48Mkuu wa masuala ya nyuklia wa Iran ameapa kwamba Jamhuri ya Kiislamu itasalia kusimama imara mbele ya matakwa ya kijuba ya madola yenye kiburi duniani kuhusu mpango wake wa nishati ya nyuklia wenye malengo ya kiraia.
-
Larijani awasili Beirut/ Iran daima itakuwa upande wa taifa azizi la Lebanon
Aug 13, 2025 03:47Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran alisema jana jioni mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beirut, mji mkuu wa Lebanon, kuwa Iran na Lebanon zina ustaarabu wa kina na kuwa zimekuwa na uhusiano wa karibu tangu karne nyingi zilizopita.
-
Wakuu wa Majeshi ya Iran na Afrika Kusini Wafanya Mazungumzo mjini Tehran
Aug 12, 2025 10:30Jenerali Rudzani Maphwanya, Kamanda wa Jeshi la Ulinzi wa Kitaifa la Afrika Kusini, amekutana mjini Tehran na Meja Jenerali Amir Hatami, Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo wamesisitiza uhusiano wao mkubwa wa kupambana na ukoloni na uungaji mkono wa pamoja kwa watu wanaodhulumiwa wa Gaza.
-
Larijani: Makubaliano ya usalama ya Iran na Iraq yanatayarisha jukwaa la usalama thabiti katika eneo
Aug 12, 2025 09:18Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: 'Makubaliano ya usalama kati ya Iran na Iraq kwa hakika yanaandaa jukwaa la usalama thabiti kwa nchi zote mbili.'
-
Iran na Iraq zasaini makubaliano muhimu ya usalama wa mpaka kufuatia mazungumzo ya ngazi ya juu
Aug 12, 2025 04:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq zimetia saini Hati ya Maelewano ili kuimarisha usalama kwenye mpaka wao wa pamoja.
-
Iran yaulaani utawala wa kizayuni wa Israel kwa mauaji ya halaiki ya wanahabari Ghaza
Aug 11, 2025 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amelaani mauaji ya waandishi wa habari watano wa Al Jazeera yaliyofanywa katika shambulio la anga la jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kuielezea jinai hiyo kama ushahidi wa kutapatapa utawala unaoshutumiwa kwa hasira duniani kote na unaozidi kuporomoka.
-
Iran: Haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon inaifanya ihitaji kuwa na uwezo wa kijeshi
Aug 11, 2025 07:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, kuwa na uwezo wa kijeshi ni muhimu kutokana na haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon.