-
Ufaransa yaondoka katika kituo kingine cha kijeshi Senegal
Jul 02, 2025 08:20Ufaransa imekabidhi kituo cha mawasiliano ya kijeshi kilichoko magharibi mwa Senegal kwa serokali ya nchi hiyo baada ya kuondoa wanajeshi wake. Rais wa taifa hilo la Afrika Magharibi, Bassirou Diomaye Faye, mwaka jana alitaka kusitishwa kwa mkataba wa ulinzi uliodumu kwa miongo kadhaa kati ya Senegal na mkoloni wa zamani, akisema mkataba huo “hauendani” na uhuru wa taifa lake.
-
Iran na nchi tisa zalaani vikwazo vya mataifa ya magharibi dhidi ya nchi zinazoendelea
Jul 02, 2025 08:15Iran pamoja na nchi zingine tisa zimelaani vikali vikwazo vya upande mmoja na hatua za kulazimisha zinazowekwa na mataifa ya Magharibi dhidi ya nchi mbalimbali, wakizitaja kuwa ni ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kanuni ya kutokujihusisha na mambo ya ndani ya mataifa mengine.
-
Araqchi: Kurutubisha madini ya urani ni mstari wetu mwekundu; katu hatutalegeza kamba
Jul 02, 2025 04:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, teknolojia na sayansi ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kuharibiwa kwa mashambulizi ya mabomu.
-
Brigedia Jenerali Vahidi: Nguvu ya makombora ya Iran iko katika hali bora kabisa
Jul 02, 2025 04:21Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, mshauri wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema: Nguvu na uwezo wa makombora ya Iran uko katika hali bora kabisa ya kukabiliana na adui Mzayuni[utawala ghasibu wa Israel].
-
Jibu la Iran kwa ombi la Kundi la G7 kwa ajili ya kufanya mazungumzo
Jul 02, 2025 02:21Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la nchi saba tajiri kwa viwanda G7 wametoa wito wa "kuanzishwa tena mazungumzo ya nyuklia" na Iran na kufikiwa makubaliano "jumuishi na ya kudumu" kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Mohajerani: Hakuna uamuzi hadi sasa juu ya mazungumzo na Marekani
Jul 01, 2025 23:10Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna uamuzi uliochukuliwa kuhusu kuingia katika mazungumzo na Marekani.
-
Iran yarekodi mauzo ya nje yenye thamani ya dola bilioni 11.6 katika msimu wa machipuo
Jul 01, 2025 22:42Mauzo ya nje ya Iran yasiyo ya mafuta katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka wa Kiiran yalifikia tani milioni 34 na 476 elfu, zenye thamani ya dola bilioni 11 na 655 milioni.
-
Araqchi akosoa kimya cha Baraza la Usalama kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran
Jul 01, 2025 09:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kimya cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Meja Jenerali Safavi azionya Marekani na Israel: Ulipizaji kisasi ujao utakuwa wa nguvu zaidi
Jul 01, 2025 08:59Mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewaonya wapinzani kwamba amewaonya wapinzani kwamba duru ijayo ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran, endapo kutafanyika uchokozi mpya dhidi ya Iran, itakuwa ya nguvu zaidi kuliko wakati wa vita vya siku 12 vya Israel dhidi ya nchi hii.
-
Araqchi: Mpango wa amani wa nyuklia wa Iran ni fahari na heshima ya taifa
Jul 01, 2025 03:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa "teknolojia na maarifa ya kurutubisha madini ya urani haviwezi kuangamizwa kwa mashambulizi ya mabomu" na kusema: Mpango wa nyuklia wa amani wa Iran umekuwa jambo la fahari na heshima ya taifa.