-
"Marubani 30 wa Israel waliuawa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya Iran"
Jul 16, 2025 07:29Balozi wa zamani wa Iran nchini Iraq amefichua kuwa, marubani 30 wa Israel waliuawa wakati wa moja ya operesheni za kulipiza kisasi za Iran katika vita vya siku 12, akisisitiza kuwa hili lilikuwa pigo kubwa kwa utawala wa Kizayuni.
-
Iran yaishukuru China kwa uungaji mkono wake katika vita vya US,Israel
Jul 16, 2025 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza hatua ya China ya kulaani vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Israel na Marekani dhidi ya ardhi na mamlaka ya kujitawala Iran, huku akisisitiza utayarifu wa Tehran wa kuimarisha zaidi uhusiano huo wa kirafiki na Beijing.
-
Iran: Israel imekamia ‘kukamilisha mradi wa kikoloni wa mauaji ya kimbari’ ya Wapalestina
Jul 16, 2025 03:28Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kupitia Msemaji wake wa Wizara ya Mambo ya Nje imeulaani vikali utawala wa kizayuni wa Israel kwa kukamia "kukamilisha mradi wake wa kikoloni wa mauaji ya kimbari" dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulio mabaya zaidi na angamizi zaidi.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Lengo hasa la Israel ni "kubadilisha utawala" nchini Iran
Jul 15, 2025 12:10Philip Giraldi, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mshauri wa masuala ya usalama aliyewahi kuwa afisa wa intelijensia wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amesema, uchokozi wa kijeshi uliofanywa na Israel dhidi ya Iran "ulikusudiwa kihakika" kuharibu diplomasia, kwani lengo lake kuu katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni "kuleta mabadiliko ya utawala nchini Iran".
-
Araqchi katika mkutano wa Shanghai: Israel na Marekani zilifanya jinai za kivita dhidi ya Iran
Jul 15, 2025 07:37Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mkutano kikao cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai nchini China kwamba, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zilifanya jinai za kivita dhidi ya Iran.
-
Kwa nini uwepo wa Araqchi katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ni muhimu?
Jul 15, 2025 03:29Seyyed Abbas Araqchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran kuelekea China akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Tehran kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Mawaziri wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Rais wa Iran: Israel inataka kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu
Jul 15, 2025 01:28Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unalenga kudhoofisha na kuzusha migawanyiko miongoni mwa mataifa ya Kiislamu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tumejiandaa kukabiliana na chokochoko za maadui
Jul 15, 2025 01:04Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haina imani na usitishaji vita uliopo, na kwamba imejiandaa kukabiliana na senario tofauti za uchokozi wa maadui.
-
Pezeshkian: Mlango wa diplomasia ungali wazi; awaonya maadui
Jul 14, 2025 12:40Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Jamhuri ya Kiislamu inaamini kuwa dirisha la diplomasia bado liko wazi na kwamba nchi hii itatumia uwezo wake wote wa kisiasa kusonga mbele katika njia hii.
-
Iran: Tutatoa jibu mwafaka iwapo tutarejeshewa vikwazo vya UN
Jul 14, 2025 11:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amesema jaribio lolote la kuanzisha kile kinachoitwa utaratibu wa kurudisha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya taifa hili ni sawa na hatua ya makabiliano ambayo itapokea jibu mwafaka kutoka Tehran.