-
Iran yalaani kitendo cha Israel cha kumtesa mwanaharakati Greta Thunberg
Oct 20, 2025 03:13Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumtesa mwanaharakti wa haki za binadamu aliyedhihirisha mshikamano na watu wa Palestina. Baqaei amevitaja vitendo hivyo vya Israel kuwa vya ukatili, visivyo vya kibinadamu na vya udhalilishaji.
-
Jan Eliasson: Kurudishwa vikwazo dhidi ya Iran ni hatua ya kurudi nyuma
Oct 19, 2025 07:55Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran.
-
Iran yailaani Israel kwa kuendelea kuua wanawake na watoto Gaza
Oct 19, 2025 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amelaani ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala ghasibu wa Israel, likiwemo shambulio la hivi karibuni dhidi ya gari lililokuwa limebeba familia ya Kipalestina wakati ikirejea kwenye makazi yao.
-
Iran yazindua makombora ya Emad, Ghadr yaliyoboreshwa
Oct 19, 2025 03:06Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.
-
Barua ya Araqchi kwa Guterres na Baraza la Usalama: Muda wa azimio 2231 umemalizika
Oct 18, 2025 09:26Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema katika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Mwenyekiti wa Kiduru wa Baraza la Usalama Vassily Nebenzia kwamba muda wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama unamalizika leo tarehe 18 Oktoba 2025.
-
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Oct 18, 2025 09:11Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
-
Iran yakadhibisha madai kwamba inatishia usalama wa Uingereza
Oct 18, 2025 04:20Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umepinga vikali madai ya mkuu wa Shirika la Ujasusi la Ndani la Uingereza (MI5) kwamba Tehran inataka kutishia usalama wa Uingereza, na kuyataja madai hayo kuwa "yasiyo na msingi."
-
Iran yalaani mashambulizi ya karibuni ya Israel kusini mwa Lebanon
Oct 18, 2025 04:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya karibuni ya anga ya Israel kusini mwa Lebanon, na kuzibebesha dhima nchi zilizodhamini makubaliano ya kusitisha vita yaani Ufaransa na Marekani kwa kutoichukulia hatua Israel.
-
Yazdanian: Iran hurusha satelaiti sita angani kila mwaka
Oct 18, 2025 04:18Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha satelaiti.
-
Araqchi afanya mazungumzo na wenzake wa Msumbiji na Mali mjini Kampala
Oct 18, 2025 01:05Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Msumbiji na Jamhuri ya Mali wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini Kampala, Uganda.