-
Msimamo wa Kamisheni ya Ulaya dhidi ya Iran; kurudiwa tena madai yasiyo na msingi wowote
Jul 20, 2025 13:32Kamisheni ya Ulaya imetoa taarifa ambayo, pasi na kuashiria kuwa mpango wa nyuklia wa Iran ni wa malengo ya amani, imetosheka na kudai tu kwamba: Tehran haipasi kuwa na silaha za nyuklia.
-
Iran, Troika ya Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo?
Jul 20, 2025 12:30Iran na Troika ya Ulaya - Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza - zimeripotiwa kukubaliana msingi wa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo.
-
Iran yawasilisha ripoti rasmi UN kuhusu jinai za kivita za Israel
Jul 20, 2025 09:35Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha ripoti rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel wakati wa vita vyake vya siku 12 dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Spika Qalibaf: Kizuizi kikuu cha Iran dhidi ya maadui ni umoja wa kitaifa
Jul 20, 2025 09:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf amewaasa wananchi wa Iran kulinda umoja wao wa kitaifa akisisitiza kuwa, umoja huo ndio unaomzuia adui kufanya kitendo kingine cha uchokozi dhidi ya taifa hili.
-
Ahmadian: Iran inapinga mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo
Jul 20, 2025 04:35Ali Akbar Ahmadian Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais Pezeshkian: Iran inaheshimu sheria za kimataifa lakini haitasalimu amri mbele ya mabavu
Jul 20, 2025 00:45Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza kuwa Iran inaendelea kujitolea kuheshimu sheria za kimataifa, lakini kamwe haitsalimu amri mbele ya mabavu wala kukubali kukandamizwa haki zake halali kwa njia yoyote ile.
-
Timu ya Iran yapata medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati
Jul 19, 2025 23:00Timu ya taifa ya hisabati ya Iran imeshinda medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati (IMO) yaliyofanyika Australia.
-
Rais wa Iran: Umoja na mshikamano ni suala la dharura kwa umma wa Kiislamu
Jul 19, 2025 11:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ametoa wito wa umoja na mshikamano zaidi nchini Iran na katika ulimwengu mzima wa Kiislamu ambao unakabiliwa na vitisho vya usalama vya pamoja vya maadui.
-
Araghchi: Iran ‘imejiandaa kikamilifu’ iwapo Israel itavunja usitishaji vita ‘dhaifu’
Jul 19, 2025 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko macho na iko tayari kujilinda iwapo utawala wa Israel utavunja usitishaji vita "tete" uliohitimisha siku 12 za uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya nchi hii mwezi uliopita.
-
Wizara ya Ulinzi ya US yanakili droni ya kamikaze ya Iran
Jul 19, 2025 10:32Marekani imenakili na kuzindua toleo lake la ndege ya kivita isiyo na rubani ya Iran ya Shahed-136, katika juhudi za kupanua machaguo ya droni za bei nafuu kwa ajili ya kuzitumia kwneye medani za kisasa za vita.