-
Baqaei: Ulaya inatekeleza kivitendo maagizo ya Washington
Sep 01, 2026 14:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa sera za nchi za Ulaya za kufuata kibubusa maagizo ya Marekani akisema: "Ulaya haiwezi tena kuzungumzia 'kujitawala na kujichukulia maamuzi kimkakati' ilhali imejishusha yenyewe hadi kuwa mtekelezaji wa maagizo ya Washington.
-
Kiongozi Muadhamu awasamehe na kuwapunguzia vifungo wafungwa zaidi ya 2,500 kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Mtume SAW
Sep 01, 2026 03:30Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 2,500 kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Mtume SAW.
-
Jenerali Shekarchi: Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Israel waliuawa katika vita na Iran
Sep 01, 2026 03:28Msemaji mkuu wa vikosi vya majeshi ya Iran amesema: "Zaidi ya wanajeshi elfu moja wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuawa katika vita na Iran na maelfu yaw engine wamejeruhiwa."
-
Rais Pezeshkian: Kuna makundi nchini Marekani yanayoona maslahi yao yapo katika kuendelea vita
Aug 31, 2026 12:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna makundi nchini Marekani yanayoona maslahi yao yapo katika kuendelea vita na hivyo yanataka vita viendelee.
-
Iran: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya kisiwa cha Lark ni ukiukaji wa wazi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa
Aug 31, 2026 12:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusu uvamizi wa kijeshi uliofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya kisiwa cha Lark, pamoja na jibu la kiulinzi lililotolewa na Iran.
-
Kushindwa "Mashinikizo ya Kiwango cha Juu Zaidi": Namna Vikwazo vya Marekani Vinavyoidhuru Yenyewe
Aug 31, 2026 05:42Ripoti mpya zinaonyesha kuwa sera ya Marekani ya "mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi" haina tena uwezo wa kuilazimisha Iran ibadili mienendo yake, na inaweza hata kudhoofisha uwezo wa Washington yenyewe wa kutumia vikwazo kufikia malengo yake.
-
IRGC yamuadhibu vikali mchokozi kwa kupiga kambi za Marekani Jordan baada ya kushambulia Kisiwa cha Larak
Aug 31, 2026 04:43Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa Kikosi chake cha Anga kimeshambulia maeneo na kambi za kijeshi za Marekani huko Jordan, na kutoa jibu la haraka kwa shambulio la kigaidi la Marekani katika Kisiwa cha Larak nchini Iran jana usiku.
-
Qalibaf aziambia nchi za kanda hii: Usalama unaojengwa kwa kutegemea uingiliaji wa nchi ajinabi unalegalega
Aug 31, 2026 04:41Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema kuwa matokeo ya umoja miongoni mwa Waislamu yamekuwa ni kushindwa kwa maadui zao, na kusisitiza kuwa usalama wa kikanda unaotegemea uwepo na uingiliaji kati wa madola ya nje ya eneo hili kimsingi ni dhaifu.
-
Kiongozi: 'Wahalifu' Marekani na Israel ni maadui wa Waislamu wote, si wa Iran peke yake
Aug 30, 2026 12:24Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema, watawala wahalifu na watenda jinai wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni si maadui wa taifa la Iran peke yake, bali ni maadui pia wa Umma mzima wa Kiislamu.
-
Rais Pezeshkian aipa heko timu ya mpira wa wavu kwa kutwaa ubingwa wa dunia baada ya kuibwaga Ufaransa
Aug 30, 2026 12:18Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu maalumu za pongezi kwa wachezaji, makocha, maafisa wa benchi ya ufundi, familia zao, na jamii ya michezo nchini kufuatia mafanikio makubwa iliyopata timu ya taifa ya voliboli ya vijana wa chini ya umri wa miaka 17 ya kutwaa ubingwa wa dunia wa mchezo huo katika Mashindano ya Dunia yaliyofanyika nchini Qatar.