-
Araqchi: Marekani inahusika katika uchokozi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Jun 15, 2025 08:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kwamba uchokozi wa utawala wa Israel dhidi ya ardhi ya Iran haungewezekana bila msaada wa Marekani, na kwamba jumbe za Rais wa Marekani katika mitandao ya kijamii ni dalili ya ushiriki huu.
-
Iran yatungua droni na ndege nyuki 44 katika kipindi cha masaa 48
Jun 15, 2025 07:44Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Mipakani, Brigedia Jenerali Ahmad Ali Goodarzi, amesema kuwa, Iran imefanikiwa kutungua droni (ndege isiyo na rubani) na ndege nyuki 44 za adui Mzayuni kiatika kiipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Pezeshkian: Israel inahujumu juhudi za kuimarisha amani, utulivu na usalama
Jun 15, 2025 04:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja mashambulio ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran kuwa ni ushahidi wa dhati ya kijinai ya utawala huo ghasibu na kusema: Tangu niingie madarakani kama Rais, nimekuwa nikijaribu kuimarisha amani, utulivu na usalama katika eneo hili, lakini utawala wa Kizayuni unavuruga kwa kufanya hujuma katika kila eneo tulilokaribia kukfanikisha jambo fulani.
-
Araghchi: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda
Jun 15, 2025 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda na kujihami mbele ya uchokozi.
-
Mashambulizi makubwa ya Iran yawachanganya vibaya Wazayuni
Jun 15, 2025 04:29Mashambulizi ya makombora ya Iran ya jana usiku ya kulipiza kisasi jinai za Israel ni makubwa kiasi kwamba hadi hivi sasa taasisi za utawala wa Kizayuni zimeemewa na hazijui zianzie wapi.
-
Pakistan yaunga mkono Iran, yatoa wito kwa Umma wa Kiislamu kuungana dhidi ya Israel
Jun 15, 2025 01:16Pakistan imetangaza kuwa itaunga mkono Iran kikamilifu katika majukwaa yote ya kimataifa, na kutoa wito kwa ulimwengu wa Kiislamu kuungana dhidi ya uchokozi wa utawala wa Kizayuni unaolenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Araghchi: Haiwezekani kuendeleza mazungumzo kati ya Iran na Marekani wakati wa unyama wa Israel
Jun 15, 2025 01:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa kuendelea kwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani, wakati ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama, ni jambo lisilokubalika.
-
Israel yaendelea kukabiliwa na mvua ya makombora ya Iran; mkuu wake wa ujasusi ajiuzulu
Jun 14, 2025 23:39Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) usiku wa kuamkia leo limetekeleza wimbi jipya la mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya utawala wa Kizayuni, kufuatia awamu ya kwanza ya operesheni ya kulipiza kisasi ya "Ahadi ya Kweli III" Ijumaa usiku.
-
Iran yaangusha ndege ya tatu ya kivita aina ya F-35, marubani wawili Waisraeli wakamatwa
Jun 14, 2025 09:44Jeshi la Iran (Artesh) limeripoti kuangusha ndege ya tatu ya kivita aina ya F-35 inayomilikiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kutumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa ndani ya Iran.
-
Operesheni ya Iran dhidi ya Israel itaendelea kadiri itakavyolazimu
Jun 14, 2025 04:13Operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli III inayotekelezwa na Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel itaendelea kadiri inavyohitajika. Haya yamesemwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.