-
Iran itawapokea wanafunzi na wasomi kutoka vyuo vikuu vya Gaza
Apr 15, 2025 06:46Iran itawapokea kwa mikono miwili wasomi na wanafunzi wa Kipalestina katika vyuo vikuu vya Iran kufuatia uharibifu mkubwa wa taasisi za elimu katika Ukanda wa Gaza kutokana na mashambulizi ya utawala haramu wa Israel.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wajadili mazungumzo ya Oman
Apr 15, 2025 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamefanya mazungumzo ya simu na kujadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili na maendeleo ya kikanda na kimataifa.
-
Wanachuo wa Iran waendeleza maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Apr 15, 2025 03:53Wanafunzi, maprofesa, wahadhiri na wafanyakazi wa Vyuo Vikuu vya mikoa ya Ardabil na Khorasan Kusini wamefanya maandamano ya kulaani ghasia na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Iran: Ufaransa itoe maelezo ya kukamatwa Muirani, mtetezi wa Palestina
Apr 14, 2025 23:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Ufaransa cha kukataa kutoa maelezo ya kukamatwa Mahdieh Esfandiari, raia wa Iran anayeishi katika mji wa Lyon, kaskazini mwa magharibi mwa Ufaransa, zaidi ya mwezi mmoja baada kutiwa kwake mbaroni na vyombo vya usalama vya nchi hiyo ya Ulaya.
-
Kazem Gharib Abadi: Rafael Grossi kuwasili Tehran Jumatano
Apr 14, 2025 09:52Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa ametangaza kuwa, Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atiomiki (IAEA) atawasili Tehran Jumatano wiki hii na atakuwa na mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Misri na Kuwait wakaribisha mazungumzo kati ya Iran na Marekani
Apr 14, 2025 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amezungumza na mawaziri wenzake wa Misri na Kuwait na kuwaeleza kuhusu msimamo wa Tehran juu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana iliyofanya na Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Adui amekatishwa tamaa na ana hofu na maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu
Apr 13, 2025 10:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sayyid Ali Khamenei leo Jumapili mchana amekutana na baadhi ya makamanda wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa Mwaka Mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia na kusisitiza kuwa, adui amekata tamaa vibaya na amekasirishwa na maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu. Wakati huo huo amesisitiza kwamba, pamoja na kuwepo mapungufu, lakini kuna maendeleo pia yamepatikana, inabidi hayo nayo tuyaone.
-
Iran: Tunafanya mazungumzo na Marekani kuhusu kadhia ya nyuklia tu
Apr 13, 2025 10:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tunapoangalia mawasiliano ya maandishi yaliyofanyika tangu mwanzo wa mchakato uliopelekea kufanyika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati yetu na Marekani tutaona kuwa, msingi wa mawasiliano hayo haukuwa na chochote kingine ghairi ya suala la nyuklia.
-
Iran yaitaka UN kutumia uwezo wake kusitisha mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Apr 13, 2025 07:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuhimiza Umoja wa Mataifa kutumia uwezo wake wote kusimamisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza na mashambulizi yake dhidi ya watu wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran yalaani shambulizi la kinyama dhidi ya raia wa Pakistan
Apr 13, 2025 06:59Ubalozi wa Jamhur ya Kiislamu ya Iran nchini Pakistan umelaani shambulio la woga dhidi ya kundi la raia wa Pakistan katika mkoa wa Sistan- Baluchistan.