-
Iran yaanza kutoa kadi za benki kwa wageni kutoka nje
Apr 13, 2025 02:54Benki za Iran zimeruhusiwa kutoa kadi za benki kwa wageni wanaotembelea nchi huku kukiwa na juhudi za kuimarisha utalii.
-
Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo
Apr 12, 2025 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameitaja duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani kuwa "chanya na yenye kuleta matumaini."
-
Wizara: Iran imezalisha mifumo ya ulinzi zaidi ya 900
Apr 12, 2025 22:51Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu imeunda zaidi ya mifumo 900 ya ulinzi na zana za kijeshi; hatua inayoashiria ustawi wa kiwango kikubwa ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979.
-
Miradi ya nyuklia ya Iran inaweza kuangamizwa?
Apr 12, 2025 13:11Kuna swali jepesi linaloulizwa lakini muhimu; nalo ni: kwa nini mpango wa nyuklia wa Iran hauwezi kuangamizwa, tena hata kwa shambulio la kijeshi?
-
Iran: Tunataka makubaliano ya haki, heshima na usawa; Israel yaingiwa na kiwewe
Apr 12, 2025 08:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu inataka makubaliano ya haki na ya heshima, na yaliyojadiliwa kwenye mazingira ya usawa. Sayyid Araghchi amesema hayo kabla ya kuanza mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na wawakilishi wa Marekani.
-
Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani yaliyoanza leo mjini Muscat, Oman
Apr 12, 2025 05:48Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa: Ujumbe wa Iran ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje Sayyid Abbas Araqchi umeelekea Muscat mji mkuu wa Oman yanakofanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani.
-
Iraq: Tuna hamu ya kushirikiana na Iran kuimarisha utulivu wa kieneo
Apr 11, 2025 22:50Rais wa Iraq, Abdul Latif Rashid ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kufanya kazi na kushirikiana na Iran ili kuhakikisha kuwa eneo hili la Asia Magharibi linakuwa na utulivu na usalama.
-
Iran imevuka 'mistari myekundu' ya Magharibi katika teknolojia ya nyuklia
Apr 11, 2025 22:49Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesisitiza uwezo wa ndani wa Iran katika sayansi ya nyuklia, akieleza kuwa mataifa ya Magharibi yameshindwa kuinyima Jamhuri ya Kiislamu teknolojia hiyo.
-
Ayatullah Seddiqi: Marekani haina hadhi ya kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na Iran
Apr 11, 2025 07:28Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, madai ya rais wa Marekani ya kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Iran ni ya uongo na ya hadaa zake za kawaida na kwamba Marekani haina hadhi ya kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na Iran.
-
Iran kwa mara nyingine yatilia mkazo wajibu wa kukomeshwa mara moja jinai Ghaza
Apr 11, 2025 07:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kuwa, kuna wajibu wa kuongezwa juhudi za kidiplomasia za kuhakikisha utawala wa Kizayuni unakomesha jinai zake kwenye Ukanda wa Ghaza.