-
Iran kwa mara nyingine yatilia mkazo wajibu wa kukomeshwa mara moja jinai Ghaza
Apr 11, 2025 07:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kuwa, kuna wajibu wa kuongezwa juhudi za kidiplomasia za kuhakikisha utawala wa Kizayuni unakomesha jinai zake kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Baghaei: Mazungumzo ya Jumamosi yatakuwa kipimo cha nia ya Marekani
Apr 11, 2025 07:26Kwa mara nyingine tena, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani huko Muscat, mji mkuu wa Oman, ni mtihani wa kupima nia na ukweli wa madai ya Marekani.
-
Jenerali Qa'ani: Marekani, Israel 'ni dhaifu kivitendo' mbele ya Iran na Muqawama
Apr 11, 2025 04:12Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kislamu nchini Iran amesema kuwa licha ya bwabwaja zao, Marekani na Israel "hazina nguvu kivitendo" dhidi ya Iran na makundi ya Muqawama.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu atahadharisha kuhusu 'hatua za kujihami' za Iran dhidi ya IAEA
Apr 11, 2025 04:11Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kwamba vitisho dhidi ya Iran vinaweza kusababisha kusimamishwa ushirikiano wa Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kufukuzwa wakaguzi wake hapa nchini.
-
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji: Uwezo wa kijeshi wa Iran uko juu sana
Apr 10, 2025 22:37Kamanda Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran, Admeli Shahram Irani amesema uwezo na nguvu za Jeshi la Iran zimefikia viwango vya juu ambavyo havijawahi kushuhudiwa.
-
Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria
Apr 10, 2025 08:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Algeria ni nchi kubwa na yenye taathira katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran ni mkubwa, imara na wa siku nyingi.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wasisitiza ulazima wa kukomesha jinai Israel Gaza
Apr 10, 2025 04:24Iran imetoa wito kwa nchi za eneo kushirikiana kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu wa utawala wa Israel na kufufua makubaliano ya usitishaji mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Nyuklia na kuondolewa vikwazo ndizo maudhui pekee za mazungumzo
Apr 09, 2025 23:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Suala la nyuklia kwa maana ya kuhakikisha mradi wa nyuklia wa Iran ni wa amani kikamilifu na kuondolewa vikwazo, ndiyo masuala pekee yanyojadiliwa kwenye mazungumzo.
-
Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?
Apr 09, 2025 23:19Bunge la Duma la Russia Jumanne (Aprili 8) liliidhinisha Mkataba wa Ushirikiano Kamili wa Kimkakati kati ya Russia na Iran.
-
Pezeshkian: Iran katu haitaacha haki zake za nyuklia
Apr 09, 2025 09:04Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kwa msimamo thabiti kuwa Iran haitalegeza msimamo wala haitakubali masharti yoyote yanayohusu mafanikio yake ya nyuklia, huku akikosoa vikali vitisho vya kijeshi kutoka Marekani.