-
Iran yaadhimisha Siku ya Teknolojia ya Nyuklia kwa kuzindua bidhaa nane
Apr 09, 2025 09:03Rais Masoud Pezeshkian ametembelea maonyesho ya mafanikio ya nyuklia huku Iran ikiadhimisha Siku yake ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia kwa kuzindua bidhaa nane.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mazungumzo ya Oman ni 'jaribio la kupima umakini wa Marekani'
Apr 09, 2025 09:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo ya Iran yatakayofanyika Oman siku ya Jumamosi ni fursa ya kupima umakini wa Marekani, ambayo ina historia ya kuwa na nia mbaya.
-
Waandamanaji Tehran walaani mauaji ya kimbari ya Israel yaliyoshadidi Gaza
Apr 09, 2025 09:00Watu wa Iran wamekusanyika kuonyesha msaada wao wa dhati kwa Wapalestina wanaoteseka kutokana na umwagaji damu wa kikatili na vitendo “visivyo vya kibinadamu” vya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza ulioko chini ya mzingiro.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mpira sasa uko upande wa Marekani
Apr 09, 2025 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika andiko lililochapishwa na gazeti la Washington Post: "mpira sasa uko upande wa Marekani, na ikiwa Washington inatafuta suluhu ya kweli ya kidiplomasia, sisi tayari tumeshatangulia kuonyesha njia ya kuifikia."
-
Iran na Marekani kuzungumza kwa njia isiyo ya moja kwa moja nchini Oman
Apr 08, 2025 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, na mjumbe wa Marekani katika masuala ya Asia Magharibi, Steve Witkoff, wanatarajiwa kushiriki katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yatakayofanyika siku ya Jumamosi katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
-
Wanamitandao wa Iran: "Trump anasema uwongo", "Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo"
Apr 08, 2025 07:16Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran na ushirikiano wake na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kufanya jinai za kivita huko Ghaza.
-
Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman
Apr 08, 2025 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.
-
Pezeshkian: Wamarekani wathibitishe kivitendo kuwa kweli wanataka mazungumzo
Apr 07, 2025 22:59Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, viongozi wa Marekani wana wajibu wa kuthibitisha kivitendo kuwa kweli wanataka mazungumzo na Tehran.
-
Wimbi la hasira za walimwengu liwakumbe Wazayuni na wenzao
Apr 07, 2025 10:28Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Ghaza na kusisitiza kwambaa, kuna udharura kwa wimbi la hasira za walimwengu liukumbe utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake.
-
Ulaya inapoteza itibari ya kimaadili kwa kuitetea Israel
Apr 07, 2025 03:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Iran amesema bara Ulaya linapoteza itibari ya kimaadili kwa kuutetea utawala wa Kizayuni wa Israel na kwa msingi huo itajipata katika upande mbaya wa historia.