-
Ukosoaji wa Iran kwa namna Magharibi inavyolitumia kisiasa suala la haki za binadamu
Apr 07, 2025 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na kueleza kwamba kulitumia kisiasa suala la haki za binadamu ni sababu muhimu ya kupoteza imani kwa taasisi hiyo na imesisitiza kuwa, nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza hazina ustahiki wa kutoa madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Meja Jenerali Bagheri: Majibu ya Iran kwa barua ya Marekani yametolewa kwa msingi wa mantiki na nguvu
Apr 06, 2025 23:53Mkuu wa Majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran si mpenda vita, lakinii itakabiliana vikali kitendo chochote cha uonevu na uchokozi.
-
Wanaharakati Iran watangaza kuwa tayari kupambana na Marekani
Apr 06, 2025 23:15Wanaharakati zaidi ya 300 wa jumuiya za kiraia nchini Iran wamepinga vikali vitisho vya Marekani vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi yao, wakiapa kukabaliana na uvamizi wowote wa kigeni.
-
Araghchi: Hakujakuwa na mazungumzo yoyote kati ya Iran na Marekani
Apr 07, 2025 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza tena kuwa Iran iko tayari kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani, lakini amebainisha kuwa hadi sasa hakuna duru yoyote ya mazungumzo ya moja kwa moja iliyowahi kufanyika kati ya mataifa hayo mawili.
-
Araghchi: Diplomasia ya Iran inazuiliwa na vitisho vya kivita vya Marekani
Apr 06, 2025 10:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepuuzilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani na kuyataja kuwa yasiyo na maana kutokana na vitisho vya Washington vya kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran.
-
Mkuu wa IRGC: Iran inazijua fomyula za vita, haitarudi hata 'hatua moja' nyuma kumkabili adui
Apr 06, 2025 03:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za kumshindia adui na haitarudi nyuma hata "hatua moja" endapo itaandamwa na vitisho.
-
Iran: Vitisho vya US vinakinzana na wito wake wa diplomasia
Apr 05, 2025 23:29Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo lakini "katika mazingira ya usawa."
-
Kwa nini ni muhimu Ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo mmoja dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Apr 05, 2025 22:49Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu wa Kiislamu kuzingatia hali ya Ghaza, Ali Akbar Velayati, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu ametoa taarifa ya kulaani hujuma za kinyama za utawala vamizi wa Kizayuni dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza na wa kusini mwa Lebanon.
-
Rais wa Iran amfuta kazi Makamu wake kwa 'safari ya ubadhirifu'
Apr 05, 2025 06:07Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kiirani (Nowruz), iliyojaa ubadhirifu.
-
Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Apr 04, 2025 09:01Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.