-
Mwandishi wa Uingereza: Wairani wanafanyia maskhara shambulio dhaifu la Israel
Oct 27, 2024 06:17Mwandishi wa Uingereza ameutaja “uchokozi wa kimaonyesho” wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Iran kuwa ni dhihaka kwa watu wa nchi hiyo.
-
Iran: Umoja wa Ulaya unapendelea maslahi yake kuliko sheria za kimataifa
Oct 27, 2024 04:36Katika kujibu kauli ya Umoja wa Ulaya kufuatia uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran, ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Brussels umesema kuwa umoja huo unapendelea zaidi maslahi yake binafsi kuliko sheria za kimataifa.
-
Barua ya Iran kwa UN: Hatua za utawala wa Kizayuni ni tishio kuu kwa amani na usalama wa dunia
Oct 27, 2024 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kufuatia mashambulizi ya jana ya utawala wa Kizayuni dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran na kusisitiza kuwa: Hatua za Tel Aviv ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa.
-
Uwezekano wa kuratibiwa uchokozi wa utawala wa Israel na shambulio la kigaidi la Jaish al-Dhulm
Oct 27, 2024 04:13Tathmini ya jinai za utawala wa Kizayuni katika miaka ya hivi karibuni, inatoa uwezekano wa kuwepo uratibu wa hatua ya kichokozi ya hivi karibuni ya utawala huo dhidi ya Iran na shambulio la kigaidi lililotekelezwa na magaidi wa Jeish Dhulm katika eneo la kusini mashariki mwa nchi.
-
Rais Pezeshkian: Wairani watajibu chokochoko za maadui dhidi ya nchi yao
Oct 26, 2024 23:40Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametoa rambirambi zake kufuatia kuuawa shahidi maafisa usalama wa nchi hii katika mashambulizi ya kichokozi ya jana Jumamosi ya utawala wa Kizayuni na kundi la kigaidi linaloungwa mkono na maajinabi.
-
Ripota wa Al-Mayadeen: Utawala wa Kizayuni umeshindwa na Iran
Oct 26, 2024 07:56Mwandishi wa kanali ya Al-Mayadeen aliyeko mjini Tehran ameashiria kushindwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuibuliwa mlingano mpya wa nguvu katika eneo.
-
Mkakati wa Israel: Mashambulizi hafifu, kukuza na kutia chumvi kwenye vyombo vya habari
Oct 26, 2024 07:41Wakati utawala wa Kizayuni wa Israel ukidai kuwa umeshambulia maeneo 20 nchini Iran, wachambuzi wa mambo wanasema kuwa shambulio hilo lililofanyika mapema leo halilingani hata kidogo na Opereshen Ahadi ya Kweli-2 (Operation 'True Promise 2) iliyotekelezwa na Iran dhidi ya utawala huo katili majuma kadhaa yaliyopita.
-
Radiamali za kwanza za kimataifa katika kulaani hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Oct 26, 2024 07:24Wizara za mashauri ya kigeni za Saudi Arabia, Malaysia, Pakistan na Oman zimetoa taarifa tofauti zikilaani hujuma za kijeshi za utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Tehran: Tuna haki halali ya kujihami mkabala wa uvamizi wa Wazayuni
Oct 26, 2024 07:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni ya kushambulia baadhi ya vituo vya kijeshi hapa nchini, na kuitaja kuwa ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran yasema iko tayari kujibu uchokozi na uvamizi wa Israel
Oct 26, 2024 06:32Duru za kuaminiki zimeliambia shirika la habari la Tasnim kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ipo tayari na imejiandaa kujibu chokochoko za utawala wa Kizayuni wa Israel.