-
Iran ina nafasi muhimu katika soko la kimataifa la teknolojia ya nano
Feb 09, 2025 07:11Katibu wa Taasisi ya Tekenolojia ya Nano ya Iran amesema kuwa, Tehran imekuwa na nafasi muhimu katika soko la kimataifa la teknolojia ya nano kwa kusafirisha bidhaa za nano zenye thamani ya zaidi ya dola milioni moja kwa nchi sita zilizoendelea.
-
Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yaungane kuijenga upya Gaza
Feb 09, 2025 03:44Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuungana na kushirikiana ili kulijenga upya eneo la Ukanda la Gaza ambalo limeharibiwa kikamilifu na mabomu ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yataka OIC iitishe mkutano wa dharura kuijadili Gaza
Feb 09, 2025 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekosoa vikali mpango wa pamoja wa Marekani na Israel wa kuwahamisha raia wa Gaza, na maangamizi ya kizazi katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Afrika Kusini: Uhusiano wetu na Iran na kuipandisha kizimbani Israel ndiyo sababu ya hasira za Marekani
Feb 08, 2025 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini imeashiria hatua ya rais wa Marekani, ya kufanya propaganda kubwa dhidi ya nchi hiyo kutokana na uhusiano mzuri wa Afrika Kusini na Iran na hatua ya Pretoria ya kufungua kesi ya kuadhibiwa viongozi watenda jinai wa Israel kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ na kusema kuwa, inasikitisha kuona Marekani inaendesha propaganda chafu dhidi ya Afrika Kusini.
-
Msemaji wa Serikali: Iran kamwe haitoingia kwenye mazungumzo yasiyo na heshima
Feb 08, 2025 22:57Msemaji wa serikali ya Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitoingia kwenye mazungumzo ambayo yatavunja heshima na itibari yake.
-
Imam Khamenei: Ushindi wa wananchi wa Gaza ulikuwa ushindi dhidi ya Marekani
Feb 08, 2025 10:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushindi wa wananchi wa Gaza ulikuwa ushindi dhidi ya Marekani.
-
Baqaei: Marekani imezilenga taasisi za kimataifa
Feb 08, 2025 04:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Uraibu wa Marekani wa kutumia sheria nje ya mipaka yake, sasa umezilenga taasisi za kimataifa.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Trump hatafikia malengo yake kuhusiana na Iran
Feb 07, 2025 10:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatoa vitisho na kuainisha kikomo cha uwezo wa nyuklia wa Iran na ushawishi wake katika eneo lakini anakosea na hatofikia malengo yake.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima
Feb 07, 2025 07:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mkutano na makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na cha Ulinzi wa Anga vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima.
-
Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote
Feb 07, 2025 04:26Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema nguvu za Iran na historia yake pana inaifanya isiweze kutetereshwa na mashinikizo ya nje.