-
Rais wa Iran akosoa unafiki na undumakuwili wa Wamagharibi
Oct 20, 2024 23:25Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali undumakuwili wa utawala haramu wa Israel na Marekani akisisitiza kuwa, Wamagharibi wakiongozwa na Tel Aviv na Washington wanaongoza kwa unafiki licha ya madai yao ya kupigania demokrasia, haki za binadamu na uhuru.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuliwa kigaidi na Israel mwanamama Muirani huko Beirut
Oct 20, 2024 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha Israel cha kumuuwa kikatili mwanamke wa Kiirani na mumewe raia wa Lebanon huko Beirut.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 20, 2024 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Tumeshaainisha maeneo yote ya Israel yanayopaswa kupigwa na silaha zetu
Oct 20, 2024 07:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio lolote litakalofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu litajibiwa viikali na kwamba, maeneo yote ya Israel yanayopaswa kupigwa kwa silaha za Iran, yameshaainishwa.
-
Ghalibaf: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lisitekwe na kampeni za vita za Israel
Oct 20, 2024 07:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) la Iran amesema kuwa, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi linapaswa kuelewa na kutumia vizuri nguvu zake za dhati, lisikubali kutekwa na kampeni za kivita za utawala wa Kizayuni na liache kutoa madai yasiyo na msingi kuhusu ardhi ya Iran.
-
Al-Arabi al-Jadid: Kuna uwezekano marais wa Iran na Misri wakaonana karibuni hivi
Oct 20, 2024 07:03Chombo kimoja cha habari cha nchini Qatar kimenukuu duru zake na kusema kuwa, kuna uwezekano marais wa Iran na Misri wakaonana karibuni hivi.
-
Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla
Oct 20, 2024 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.
-
Iran yakanusha kuhusika na shambulio la droni lililolenga makazi ya Netanyahu
Oct 20, 2024 03:33Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema, shambulio la ndege isiyo na rubani lililolenga makazi ya Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel limefanywa na Hizbullah ya Lebanon.
-
Kamati ya Bunge la Iran: Kuuawa shahidi Sinwar kutaharakisha maangamizi ya Israel
Oct 19, 2024 23:17Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje za Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, damu takasifu ya Shahidi Yahya Sinwar itasafisha zaidi njia ya kuikomboa Quds na kuharakisha maangamizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya nchi za Bahari ya Hindi yaanza Iran
Oct 19, 2024 08:13Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Majeshi ya Majini ya nchi za Kandokando ya Bahari ya Hindi (IONS) ), "IMEX 2024," yameanza katika eneo la maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi kwa kuvishirikisha vitengo mbalimbali kutoka nchi kadhaa wanachama na waangalizi.