-
Iran yaonya kuhusu 'ushiriki hatari' wa Marekani na Uingereza katika chokochoko za Israel
Oct 19, 2024 08:01Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen huku nchi hizo mbili zikiunga mkono utawala haramu wa Israel kijeshi na kisiasa.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kufuatia kuuawa shahidi Yahya Sinwar
Oct 19, 2024 03:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya HAMAS ya Palestina na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Al-Sinwar."
-
"Kuuawa viongozi wa Muqawama hakutadhoofisha mapambano dhidi ya Wazayuni"
Oct 19, 2024 03:50Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mauaji ya kigaidi ya viongozi na makamanda wa kambi ya Muqawama hayatadhoofisha mapambano ya taifa hili la Kiislamu dhidi ya dhulma na uvamizi.
-
Iran: US itabeba dhima ya shambulio lolote la Israel dhidi yetu
Oct 19, 2024 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran
Oct 18, 2024 23:34Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amekosoa uingiliaji kati wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa malengo yasiyofaa na kuunga mkono madai ya Imarati kuhusu visiwa vitatu vya Iran, na amewatahadharisha viongozi wa Imarati kwamba waache uadui wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Araghchi: Kuuawa Mujahidina wa Njia ya Haki hakutavunja Kambi ya Muqawama
Oct 18, 2024 11:47Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa salamu za rambirambi kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Hamas.
-
Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran: Ushirikiano wa kilimo, petrokemikali na utalii kati ya Iran na Tanzania utaendelezwa
Oct 18, 2024 10:34Waziri wa Jihad ya Kilimo wa Iran ametangaza kuwa ushirikiano kati ya Iran na Tanzania utaendelezwa katika nyanja za kilimo, petrokemikali na utalii.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Israel imekwisha kimkakati
Oct 18, 2024 09:29Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeshindwa na kuangamizwa kistratijia.
-
Spika wa Bunge la Iran: Palestina ni suala la kwanza la dunia nzima
Oct 18, 2024 04:31Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa baraka za damu za mashahidi Palestina ni suala la kwanza la dunia nzima
-
Iran na Misri zajadili masuala ya kikanda na kimataifa
Oct 17, 2024 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi; ambapo wamejadili masuala muhimu ya kikanda na uhusiano wa pande mbili.