-
Salami: IRGC ina 'Akili Mnemba' ya kutumia kwenye operesheni ngumu za kijeshi
Jan 29, 2025 23:18Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kikosi cha wasomi cha jeshi hilo la Iran kimejizatiti kwa teknolojia ya Akili Mnemba ili kutekeleza vyema operesheni nzito na ngumu za kijeshi.
-
Pezeshkian: Iran haijapokea ujumbe wowote kutoka Marekani
Jan 29, 2025 07:40Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka Washington hadi sasa.
-
Balozi wa Iran UN ajibu tuhuma zisizo na msingi za utawala ghasibu wa Israel
Jan 29, 2025 03:53Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaja tuhuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran kuwa hazina msingi wowote akisema ni jaribio la kuficha harakati za uharibifu za utawala huo dhidi ya nchi za eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kustawi
Jan 29, 2025 00:06Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran ametangaza habari ya kuzidi kustawi na kuimarika uhusiano wa kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Oman.
-
Waziri wa Mambo ya Nje: Magharibi inapaswa ichukue hatua nyingi ili Iran iweze kuwa na imani nayo
Jan 28, 2025 23:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kwa kauli ya rais mpya wa Marekani aliyeonyesha hamu ya kufikia makubaliano na Iran, kwa kusisitiza kuwa, nchi za Magharibi zinapaswa kuchukua hatua nyingi ili kuifanya Iran iwe na imani nazo.
-
Kiongozi Mkuu: Muqawama ni dhihirisho la Mabaathi, na matunda yake ni kupigishwa magoti utawala wa Kizayuni Ghaza na Lebanon
Jan 28, 2025 09:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Vuguvugu la Muqawama ambalo lilianza baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu limeweza kuyaamsha mataifa ya Kiislamu na hata yasiyo ya Kiislamu kwa kutumia akili na imani na kuupigisha magoti utawala wa Kizayuni mbele ya Ghaza na Lebanon.
-
Safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran mjini Kabul
Jan 28, 2025 07:04Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amefanya safari yake ya kwanza rasmi mjini Kabul tangu wanamgambo wa Taliban waliporejea tena madarakani nchini Afghanistan Agosti 2021.
-
Wabunge wa Iran walaani azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kislamu
Jan 28, 2025 04:30Wabunge wa Iran wamelaani vikali azimio la hivi karibuni la Bunge la Ulaya wakilitaja kuwa ni "uingiliaji kati na upendeleo" dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon
Jan 27, 2025 09:51Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Spika Qalibaf: Hamas ipo hai, imeidhalilisha vibaya Israel
Jan 27, 2025 09:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameipongeza Harakati ya Muqawama ya Hamas na vikosi vya mapambano ya Kiislamu vya Palestina kwa ushindi wao mkabala wa utawala wa Kizayuni.