-
Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon
Jan 27, 2025 09:51Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Spika Qalibaf: Hamas ipo hai, imeidhalilisha vibaya Israel
Jan 27, 2025 09:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameipongeza Harakati ya Muqawama ya Hamas na vikosi vya mapambano ya Kiislamu vya Palestina kwa ushindi wao mkabala wa utawala wa Kizayuni.
-
Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan
Jan 27, 2025 08:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amelaani shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya hospitali moja katika mji wa El Fasher katika mkoa wa magharibi wa Darfur nchini Sudan, na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
"Marekani ni aina mbaya zaidi ya Uistikbari", andiko jipya kwenye ukurasa wa X wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 26, 2025 08:32Akaunti ya mtandao wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya khamenei.ir imetoa mjibizo kwa lugha ya Kihispania yenye hashtag GolfoDeMéxico kujibu hatua ya Marekani ya kulibadilsha jina Ghuba ya Mexico.
-
Sababu za kukua uchumi wa Iran licha ya kukabiliwa na vikwazo
Jan 25, 2025 23:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imestawi pakubwa kiuchumi licha ya vikwazo na sera za Marekani na nchi za Magharibi dhidi yake.
-
Maneva makubwa ya wanamaji wa SEPAH yanafanyika Lango Bahari la Hormoz
Jan 25, 2025 22:52Maneva makubwa ya kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) yanafanyika katika Ghuba ya Uajemi na katika Lango Bahari la Hormoz.
-
Rais wa Iraq: Iran ni jirani mkubwa na muhimu kwa Iraq
Jan 25, 2025 22:52Rais wa Iraq amesema kuwa, Iran ni jirani mkubwa na muhimu kwa Iraq na kubainisha kwamba, uhusiano kati ya Baghdad na Tehran ni wa kawaida na wa kirafiki.
-
Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon
Jan 25, 2025 08:05Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai ya Israel kamba Jamhuri ya Kiislamu inasafirisha kimagendo silaha kwenda Lebanon.
-
Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria
Jan 25, 2025 07:51Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Masuala ya Wanawake ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu halina msingi wowote wa kisheria na linaonyesha tabia ya uingiliaji ya chombo hicho.
-
Kwa nini Araqchi ametaja matamshi ya Guterres kuhusu Iran kuwa ni ya kifidhuli?
Jan 25, 2025 05:24Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema akijibu hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran kwamba: "Kufungamana kwa muda mrefu Iran na mfumo wa kimataifa wa kutoeneza silaha za maangamizi kuko wazi kwa kila mtu."